LUKAMA
JF-Expert Member
- May 28, 2017
- 1,154
- 1,434
Sijawai kufikiria kujitoa uhai ila kupotea niende kusiko julikana ambako simjui mtu yeyote nikae 20 yrs bila kurudi home, sio kwamba home kubaya ila natamani tuu
Toka nimemaliza chuo sijawai rudi home zaidi kukiwa na matatizo na kunakipindi nilienda kufanya interview, kwa sehem home kunakila kitu ambacho ukifanya uwezo wa kutoboa ni mkubwa ila sipendi kukaa jilani na ndg zangu
Ndugu zangu karibia wote waliopo home wana good life, hadi leo sijapotea kwa sababu nilikuwa nafauru darasani na sijawa kwama hata darasa moja pia toka nifike secondary ( form 2) nimekuwa mtu wa church sana hadi leo, kuna kipindi nilipo kwa form 1 nilikwa mkorofi (mtukutu niliyekaribia kushindikana) sana school nilitaka kutoroka niende chunya migodini sema nilichokosea niliwashirikisha jamaa zangu wawili mpango wangu wakutoroka walinibembeleza ile mbaya nibaki shule na nilitaka kufanya iv cos kuna teachers fulani iv nilikuwa naona kama hawanipendi kila nikiharibu najikuta natumbukia mikononi mwao nachapwa na kusemwa sana ila home hawajui na nikirudi rikizo nikifanya msala tu mvua ya maneno inanyesha kwangu so akili ya kupote kusipo julikana ilikuwa kubwa sana.
Nilivo fika form 2 nilibadilika kabisa nikawa mtu wa church hadi leo nyumban hawa amini kama nimebadilika hadi shule watu hawa amini kwa sababu napitaga mara nyingi kuwapa hi na kuna watu hawaamini hadi leo