Mwana
JF-Expert Member
- Aug 6, 2010
- 5,440
- 1,962
Yaani watu wavivu mara nyingi wana fitna kubwa. Nitakuja kuwaeleza yanayoendelea kunikuta kisa ya \Mama mmoja mvivu hajui kazi lakini nanajua kweli kutengeneza fitna japo zimegonga mwamba.Aisee nakumbuka ilikuwa mwaka 2014 nilipata kaz shule moja ya girls nilikuwa mchapa kaz sn boss alinipenda sn maana nilikuwa nafanya kaz ya records Mambo ya Ada na michango mingne lakini nilikuwa na faida nyngn Kama sekritari hayupo nilikuwa nasmamia show za kuchapa mitihani na Mambo mengine yote ya kuprint na kuch