Tuliowahi kufukuzwa kazi tukutane tupeane experience

Mrs Bishanga

JF-Expert Member
Jun 30, 2013
1,004
2,000
Huyo boss ni kama boss wangu wa sasa...

Nipo namlia timing tuu sku akijichanganya lazima nimtie hasara...
Lianzishe mkuu
Yani boss anaambia watu km hamjafunzwa kwenuu tena kwa nyodoooo kwenye kikao cha staff..will never regret quiting that job
 
LeoTz

New Member
Mar 30, 2021
3
75
Niliacha kazi mwaka 2018 mpaka leo najuta Kwa kweli naona bora nisinge acha kazi.Sijui wenzangu mnatumia mbinu gan kupata kazi Kwa haraka
Dah pole mkuu, kama kwenye ajira ulikuwa unapata milioni kwenda juu sawa , ila trust me, kama una mishe yako unapata hata 700k as faida per month hadi 1m komaa na biashara yako, na ukisema uajiriwe basi make sure take home inakuwa 1m kwenda juu, ila hizi 800k, wakikata unabaki na 500k stress tupu.
 
Mwana

JF-Expert Member
Aug 6, 2010
5,382
2,000
Aisee nakumbuka ilikuwa mwaka 2014 nilipata kaz shule moja ya girls nilikuwa mchapa kaz sn boss alinipenda sn maana nilikuwa nafanya kaz ya records Mambo ya Ada na michango mingne lakini nilikuwa na faida nyngn Kama sekritari hayupo nilikuwa nasmamia show za kuchapa mitihani na Mambo mengine yote ya kuprint na kuch
Yaani watu wavivu mara nyingi wana fitna kubwa. Nitakuja kuwaeleza yanayoendelea kunikuta kisa ya \Mama mmoja mvivu hajui kazi lakini nanajua kweli kutengeneza fitna japo zimegonga mwamba.
 
Ambition plus

JF-Expert Member
Feb 23, 2018
3,546
2,000
miaka kumi na ushee iliyopita....
Nilikiwa kwenye ajira kwenye kampuni niliyufanyia kazi kwa zaidi ya miaka nane katika vitengo tofauti tofauti kwa ufanisi mzuri tuu,sasa nikiwa mkoani tukaitwa Makao makuu kwa ajili ya kujifunza system mpya ya kazi,
Kama huo upotevu ulikua na uwezo wa kuweka sawa kwanini uli ripoti? Nadhani ilikua ni hekima ukilifukia tu ila wahusika ungewaonya, sema bila kuficha bro we ni "mnoko" samahan lakini
 
goroko77

JF-Expert Member
Jul 9, 2019
1,170
2,000
Kaz nyingine nilifukuzwa na boss na kunichukia mno baada ya mm kumgomea kuwa shushushu eti nimuandikie yey emmail na kumcc boss mkuu alieko marekani ilikusud wapate ushaid wa kumfukuza jamaa Kaz ..Ni kweli jamaa alizingua mno ktk idara yake ila walikoza jins ya kumkamata ispo kuwa wanitumie mm niwatafute watu nikamtege jamaa ili aunaze mtego aliye ekewa nikashindwa kbsa boss alinifata Mara kadha akiniomba nimsaidie zoezi lake nikakataa bass kilichofata nn mm kuondolewa ktk Kaz hvyo Tena kwa kufanyika redundancy ....
 
kiziru

Member
Mar 10, 2019
37
125
Niliwahi kuajiriwa sehemu kama meneja, HR alikuwa hanipendi pia alikuwa anapelekewa maneno ya uzushi kutoka kwa wafanyakazi niliowakuta...HR akaanza kunipa stress ili nisiwe comfortable, ananiambia resign otherwise sisi tutakutimua na huna uwezo kutushinda mahakamani. basi siku ya siku probation imeisha wakuchukua kigezo kutokuperform na kunitimua. siku taka kubishana, niliondoka kiroho safi.

Baada ya mwezi mmoja nilipata kazi nyingine kwenye kampuni nyingine kubwa zaidi, mshahara mkubwa zaidi na position ya managerial. Hakika Mungu ni mwema. Rejection is sometimes redirection.
 
suzie _barbie

JF-Expert Member
May 2, 2017
366
500

Tusaidiane jamani, mnapataje kazi haraka hivyo.Maisha ni magumu sana
 
Hon Nkundwe

JF-Expert Member
Nov 30, 2014
3,712
2,000
Kazi za watu ni balaa nilikuwa nafanya kazi sehemu nilikuwa na Maboss familia nzima ya Boss eti nao niwaite Boss jamaa alikuwa anachukia akikuona unakula siku nikachoka nikaacha baada ya miezi mitano anakuja kusema eti nilimuibia jamaa Mungu alimlaani yule jamaa saiv kafulia balaa
 
covid 19

JF-Expert Member
May 9, 2014
1,753
2,000
Kazi za watu ni balaa nilikuwa nafanya kazi sehemu nilikuwa na Maboss familia nzima ya Boss eti nao niwaite Boss jamaa alikuwa anachukia akikuona unakula siku nikachoka nikaacha baada ya miezi mitano anakuja kusema eti nilimuibia jamaa Mungu alimlaani yule jamaa saiv kafulia balaa
Hiyo sio ofisi ni jehanamu hadi ukila tu unachukiwa :D :D :p
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom