dr namugari
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 9,410
- 15,993
Itakumbukwa kuwa Mkurugenzi huyu ndiye aliyewekwa na Hayati Magufuli kusimamia bandari zetu of which alifanya vizuri sana hatukusikia mambo ya ovyo ovyo katika bandari zetu Kama mitambo kizima Wala kutofanya Kazi kwa mitandao.
Jamaa alipaweza mno, unaambia Kakoko alikuwa ndio mhasibu mkuu, mkaguzi mkuu wa ndani, mkuu wa wa IT, mkuu wa masoko. Kuna vijana pale walikuwepo pale vihasibu wote walimchukia mkuu yule kwa ufuatiliaji wake na umakini wake katika kusimamia bandari alifanya kazi siku zote za week hajawai kwenda likizo tokea alivyo teuliwa kuwa CEO.
Ilifika hatua madogo hawana peza za kula mchana kwani kila kitu kilibanwa sawasawaa na ukibainika unakwenda kinyume au uko rafu unahamishiwa halmashauri ukafanye Kaz kule.
Jamaa hakutaka masihara, nakumbuka Kuna jamaa alihamishiwa pangani wilayani kule na wakat aliajiriwa TPA hapa DSM kwa kosa tu la kutoa password yake kwa mfanyakazi mwezake atumie ikiwa yake ilizingua.
Kwa ujumla Kakoko ndie alileta ufanisi mzuri bandarini kwani aliweza kuziba mianya yote akabaki na watu wasafi tu.
Hayati Magufuli alimuamini sana Kakoko ndio maana alimtoa tanroad makoo makuu na Kisha kumfanya mtendaji mkuu wa TPA na alifanya vyema na ndio maana magufuli aliweza kujenga na kuanzisha mirandi mikubwa Sana bila hofu.
Na mnukuu "Tanzania Ni nchi tajiri sana”. Yale maneno hayati Magufuli alimaanisha mno kuwa nchi hi inawezekana kupiga hatua ya maendeleo kwa sababu tuna rasilimali za kutosha.
Sasa ajabu alivyofariki tu Magufuli jamaa akafukuzwa Kazi na kuundiwa zengwe ya matumizi mabaya ya ofisi ila TAKUKURU walikuja kudhibitisha kuwa jamaa hana hatia Wala kosa lolote, ishu yake kubwa nalisikia jamaa alikuwa na kiburi mno hadi Kuna kipindi alimdharau Waziri Mkuu hivyo zengwe la kuondolewa kwake TPA ni kwa sababu alikuwa hazihivi na Waziri Mkuu wa sasa.
Naomba huyu bwna arejeshwe asimamie bandari yetu Ni mzalendo na Ni mchapakaz mno, Ni mfatiliaji mno na ubaya Zaid watanzania hawapendi watu wapiga kazi ,mtu akipiga kazi vzr anaonekana ana mvunika boss wake Ni chuki za kipumbavu hzi ndio inatupelekeaa bandari yetu kushindwa kufanya Kaz kwa ufanisi na SAS anakwenda kupewa muarabu asimamie
Mam samia mrejeshe kakoko akuzaidie bandari wakt unajipanga kumtafuta mridhi wake kwani Hawa walioko HV SAS wameshindwa kazi ..