Tuliowahi kufukuzwa kazi tukutane tupeane experience

Aisee nakumbuka ilikuwa mwaka 2014 nilipata kaz shule moja ya girls nilikuwa mchapa kaz sn boss alinipenda sn maana nilikuwa nafanya kaz ya records Mambo ya Ada na michango mingne lakini nilikuwa na faida nyngn Kama sekritari hayupo nilikuwa nasmamia show za kuchapa mitihani na Mambo mengine yote ya kuprint na kuch
Yaani watu wavivu mara nyingi wana fitna kubwa. Nitakuja kuwaeleza yanayoendelea kunikuta kisa ya \Mama mmoja mvivu hajui kazi lakini nanajua kweli kutengeneza fitna japo zimegonga mwamba.
 
miaka kumi na ushee iliyopita....
Nilikiwa kwenye ajira kwenye kampuni niliyufanyia kazi kwa zaidi ya miaka nane katika vitengo tofauti tofauti kwa ufanisi mzuri tuu,sasa nikiwa mkoani tukaitwa Makao makuu kwa ajili ya kujifunza system mpya ya kazi,
Kama huo upotevu ulikua na uwezo wa kuweka sawa kwanini uli ripoti? Nadhani ilikua ni hekima ukilifukia tu ila wahusika ungewaonya, sema bila kuficha bro we ni "mnoko" samahan lakini
 
Kaz nyingine nilifukuzwa na boss na kunichukia mno baada ya mm kumgomea kuwa shushushu eti nimuandikie yey emmail na kumcc boss mkuu alieko marekani ilikusud wapate ushaid wa kumfukuza jamaa Kaz ..Ni kweli jamaa alizingua mno ktk idara yake ila walikoza jins ya kumkamata ispo kuwa wanitumie mm niwatafute watu nikamtege jamaa ili aunaze mtego aliye ekewa nikashindwa kbsa boss alinifata Mara kadha akiniomba nimsaidie zoezi lake nikakataa bass kilichofata nn mm kuondolewa ktk Kaz hvyo Tena kwa kufanyika redundancy ....
 
Niliwahi kuajiriwa sehemu kama meneja, HR alikuwa hanipendi pia alikuwa anapelekewa maneno ya uzushi kutoka kwa wafanyakazi niliowakuta...HR akaanza kunipa stress ili nisiwe comfortable, ananiambia resign otherwise sisi tutakutimua na huna uwezo kutushinda mahakamani. basi siku ya siku probation imeisha wakuchukua kigezo kutokuperform na kunitimua. siku taka kubishana, niliondoka kiroho safi.

Baada ya mwezi mmoja nilipata kazi nyingine kwenye kampuni nyingine kubwa zaidi, mshahara mkubwa zaidi na position ya managerial. Hakika Mungu ni mwema. Rejection is sometimes redirection.
 
Tusaidiane jamani, mnapataje kazi haraka hivyo.Maisha ni magumu sana
 
Kazi za watu ni balaa nilikuwa nafanya kazi sehemu nilikuwa na Maboss familia nzima ya Boss eti nao niwaite Boss jamaa alikuwa anachukia akikuona unakula siku nikachoka nikaacha baada ya miezi mitano anakuja kusema eti nilimuibia jamaa Mungu alimlaani yule jamaa saiv kafulia balaa
 
Hiyo sio ofisi ni jehanamu hadi ukila tu unachukiwa :D :D :p
 
Dah pole mkuu, kama kwenye ajira ulikuwa unapata milioni kwenda juu sawa , ila trust me, kama una mishe yako unapata hata 700k as faida per month hadi 1m komaa na biashara yako, na ukisema uajiriwe basi make sure take home inakuwa 1m kwenda juu, ila hizi 800k, wakikata unabaki na 500k stress tupu.

Asante Kwa ushauri
 
Kaz nyingine nilifukuzwa na boss na kunichukia mno baada ya mm kumgomea kuwa shushushu eti nimuandikie yey emmail na kumcc boss mkuu alieko marekani ilikusud wapate ushaid wa kumfukuza jamaa Kaz ..Ni kweli jamaa alizingua mno ktk idara yake ila walikoza jins ya kumkamata ispo kuwa wanitumie mm niwatafute watu nikamtege jamaa ili aunaze mtego aliye ekewa nikashindwa kbsa boss alinifata Mara kadha akiniomba nimsaidie zoezi lake nikakataa bass kilichofata nn mm kuondolewa ktk Kaz hvyo Tena kwa kufanyika redundancy ....
Huku kwenye mashirika huwa ni mwendo wa kukomoana tu.
 
Niko private. Niko kazini toka saa 1:30 asubuhi. Ninavyoandika sasa hivi ni saa 1:13 usiku/jioni ndio kazi za leo zimekwisha. Nafanya kazi kama punda lakini mwisho wa mwezi ukifika, machungu yote yanakwisha. Karo za watoto, bima, nk wanalipa. Wenzangu wa serikalini wanasema wana usalama wa kazi na wanatoka kazini kadiri wanavyojisikia lakini mwisho wa mwezi kamshahara hakafiki mwisho wa mwezi. Mshahara wangu wa mwezi mmoja, baadhi yao watafanya kazi mwaka mzima ili kuupata. Watoto wao kusoma kwenye shule nzuri ya binafsi ni ndoto. Kwa hiyo chaguo ni lako.
😅😂 imebidi nicheke tu, unajivunia vitu vidogo sana, halafu havina ukweli...
Baada ya muda utakuja kujua hapa uliandika bila kutafakari... Maisha sio hayo kijana open your 3rd eye
 
Kama umecheka basi umeongeza siku za kuishi. Wewe ng'ang'ana na security serikalini. Miaka 5 ya private natapa pesa ambayo ningeipata baada ya miaka 20 ya kazi serikalini. Wee endelea kucheka...
😅 imebidi nicheke tu, unajivunia vitu vidogo sana, halafu havina ukweli...
Baada ya muda utakuja kujua hapa uliandika bila kutafakari... Maisha sio hayo kijana open your 3rd eye
 
Mshahara is a compensation for your services to the company

We expect highest level of professionalism na sio upumbavu na toxicity.....

"Kukuchongea" is a beneficial act to the company...huwezi fanya upumbavu huko ku-sabotage the company halafu kikifika "mnanichongea"...

You motherfvckers think nyie watu msiotakiwa kuumia ila kampuni ndio iumie,who said that?

You type of workers are useless kabisa
Nilichogundua wahalifu hawataki uhalifu wao uwekwe wazi..

Wanasema yanaachwa majizi makubwa wanafukuzwa wezi wadogo

Kwahiyo wanakiri wanaiba lakini hawataki wachukuliwe hatua kwa kuwa wameiba kidogo

Na siku zote anayehisi hisi anatazamwa basi yeye ndio anatazama wengine

Ooh nikivaa naonewa wivu, ukianza kuhisi hivyo ujue wewe ndio unaonea wivu wengine, uko ofisini kushindana
 
Aiseee! Sina historia ya kuachishwa kazi ila ninaacha mwenyewe wakati bado wananihitaji na huwa hawaamini. Napenda kuwa huru na Mambo ya ajira huwa yananibana Sana kiasi kwamba ma boss zangu huwa tunapishana Sana kauli
 
190 Reactions
Reply
Back
Top Bottom