Tuliowahi kufukuzwa kazi kisa mchepuko wa boss au chawa wa boss njoo tujuzane hili wengine wajifunze kuputia sisi

Mwachiluwi

JF-Expert Member
Mar 10, 2022
17,796
32,148
Za jioni poleni na uchovu wa kazi

Kama kichwa cha habari hapo kinajieleeza hii inahusu kufukuzwa kazi kisa chawa wa boss au mchepuko wa boss au mke wa boss

Yaani upo ofisini kuna kuwa na mchepuko wake au mkewe au chawa wake

Yangu mimi hilikuwa hivi kuna mteja walikuwa wanatukanana na mfanyakazi mwezangu kosa lilikuwa lao wote lakini pale offisin palikuwa na chawa yule chawa akarekodi lile tukio akamtumia boss

Baadae boss akatuma kwenye group ile voice note na kutoa kauli kuwa walio sikika kwenye hiyo voice note kesho sitaki kuwaona offisin akamtaja mtu aandae barua za kufukuzwa kazi

Mimi sikuhusika hila nilienda chemba kuchat na mtu tukizungumzia lile swala maana ouna wengine waliingilia ugomvi basi nisijue yule ndio chawa halisi aka screenshoot zile sms akamtumia boss nisijue na amka asubuhi sijawasha data nafika ofisini watu wananishangaa umekuja uku wananiuliza umekuja kuomba msamaha

Nilishutka kidog nikauliza walijibu ingia group kuingia kwenye group nikakuta zile text zangu zote yule jamaa yeye alikuwa amefuta Zile alizokuwa anamponda boss ndio ulikuwa mwisho wangu wa kufanya kazi pale posta nilimchukia sana yule jamaaa

Wewe kwako ipoje?
 
Mimi nilikuja kufuma chatting baada kama ya miezi kadhaa nyuma ilikuwa 2021 katikati dada mmoja kanizidi umri kama miaka 3 nakaa nae section moja...sasa chatting anamwambia meneja kwamba mm nisiende safari ilikuwa ya wiki nzima ,Point zake anasema sijui unampendelea fulani na Meneja anamwambia " yule ndo mlengwa "😂😂😂 na hyo safari nlienda huyu dada anapenda kunichekea ila hajui kichwani najua fitna zake ..

Siku moja alinipa simu akanionyesha Kuna kazi imetumwa kama ujumbe na Meneja yaani ni " Dokezo la ndani" nasoma akaniachia simu akaenda chooni nikascroll juu sana ndo nikakuta izo chatting na pia Kuna ambazo anatongozwa humo 😂😂 ni mke wa mtu anajistiri ila haonyeshi kukataa yeye anareply viemoj tu vya kubasamu.
 
Za jioni poleni na uchovu wa kazi

Kama kichwa cha habari hapo kinajieleeza hii inahusu kufukuzwa kazi kisa chawa wa boss au mchepuko wa boss au mke wa boss

Yaani upo ofisini kuna kuwa na mchepuko wake au mkewe au chawa wake

Yangu mimi hilikuwa hivi kuna mteja walikuwa wanatukanana na mfanyakazi mwezangu kosa lilikuwa lao wote lakini pale offisin palikuwa na chawa yule chawa akarekodi lile tukio akamtumia boss

Baadae boss akatuma kwenye group ile voice note na kutoa kauli kuwa walio sikika kwenye hiyo voice note kesho sitaki kuwaona offisin akamtaja mtu aandae barua za kufukuzwa kazi

Mimi sikuhusika hila nilienda chemba kuchat na mtu tukizungumzia lile swala maana ouna wengine waliingilia ugomvi basi nisijue yule ndio chawa halisi aka screenshoot zile sms akamtumia boss nisijue na amka asubuhi sijawasha data nafika ofisini watu wananishangaa umekuja uku wananiuliza umekuja kuomba msamaha

Nilishutka kidog nikauliza walijibu ingia group kuingia kwenye group nikakuta zile text zangu zote yule jamaa yeye alikuwa amefuta Zile alizokuwa anamponda boss ndio ulikuwa mwisho wangu wa kufanya kazi pale posta nilimchukia sana yule jamaaa

Wewe kwako ipoje?

Niliwai kuchukiwa na ccm baada ya kumbadilisha kada wa mchepuko
 
Kwann ufanye ujinga sasa muda wa kazi
Kuna ile kujisahau free internet kila mtu anapewa GB za kutosha free wifi ila hauruhusiwi kuingia kwenye social media yoyote hata YouTube huruhusiwi kuingia bila ruhusa kutoka supervisor au leader wako, sasa ukijichanga ikaingia Twitter mda wa kazi, unajiweka kwenye wakati mbaya na ukimaliza kazi unakua umechoka sana, sasa wabongo wengi mseleleko anataka atumie free internet kwa matumizi mengine tofauti na alivyopangiwa km kupakua movie na ujinga mwingine wakikugundua huna kazi au mwingine anataka ashinde YouTube tu so free internet
 
Ufukuzwe kisa umeingia mtandaoni kwa dk kadhaa wtf
 
Back
Top Bottom