Tuliowahi 'kuchungulia kaburi' tukutane hapa

Lami kitu kingine aisee.sitasahau ile siku kwan sikuacha kuona rangi zote ndani ya mwezi mzima.

Walinipiga xray hawaoni kitu ila mm sijielew elewi yaan inshort nilikua kam 'msukule'
eti Kama msukule
.
Nacheka Kama mazuri vile..
Lami ilichonifanya,,sisahau Hadi Leo..

Ila pole Sana boss
 
wale ambao utotoni tuliugua hadi wazazi wakakata tamaa tunacomment wapi??

Mimi niliumwa hadi wazee wakaamua kunibadilishia jina na mwezi wa kuzaliwa hadi leo jina lililopo kwenye birth certificate ile inayotolewa mwanzoni hospitali na niliyo nayo sasa ni tofauti kuanzia jina hadi mwezi ingawa najua nilizaliwa mwezi wa 3 ila birthday yangu ni mwezi wa 4 wakuu acheni tu
 
Sijui watoto wa kizazi hiki watakuja kucomment nini kwenye uzi kama huu ?. Tumepitia mengi sana. Watoto wa kizazi hiki mpaka huwa nawashangaaga na kuona kama kuna mengi sana ya maisha hawayapitii.
 
eti Kama msukule
.
Nacheka Kama mazuri vile..
Lami ilichonifanya,,sisahau Hadi Leo..

Ila pole Sana boss
Acha mungu aitwe mungu tu

Na haya ni makubwa ila kuna ya kudumbukia kweny mapipa ya maji kwa kutanguliza kichwa .yaan kuna mambo unawaza alaf unakosa majibu
 
Pole Saint anne, pole sana. Naomba tu kujua, kiuno kimerudiana vizuri
 
Duh pole sana mkuu ulikuwa kama msukule
 
Duhh tungekua tunafagilia kaburi mzeee..
Ila miezi mitatu kutambaa mtoto bado.. Labda mitano mpk sita
 
Aisee pole sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…