Punnisher
JF-Expert Member
- Jul 28, 2014
- 1,131
- 1,246
hii biashara sijawahi kuelewa...
Wakati naanza forex trading niliunguza zaidi ya account 8, nahisi zinafika account 12. Nimefika kipindi ambacho siwezi kuunguza account hata kama nikiwa na $10.
Namaanisha hata leo nikifilisika nitatafuta elfu 24,000 tu ambayo ni $10, nitaikuza kufika $100, hiyo nayo nitaikuza hadi $1000. Nikifika $1000 nina uwezo zaidi ya asilimia 100 kuingiza mshahara wa madaktari wa5 kwa kila mwezi.
Kama umeunguza account jua upo kwenye hatua ya kuimarika hasa kisaikolojia. Nina mwanafunzi wangu, kamaliza CPA juzi kati alianza na $100 akaifikisha $400. Then akacheza michezo ya kishamba akaunguza account yake yote. Akaifund upya kwa $100, leo ninavyozungumza ana account ya $3000 chini ya mwezi mmoja. Thats the power of forex!!