Tuliounguza account za Forex trading

AMLIGHT

AMLIGHT

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2013
Messages
1,111
Points
2,000
AMLIGHT

AMLIGHT

JF-Expert Member
Joined Nov 29, 2013
1,111 2,000
WHY NOT USE - THE CENT?

Kwa ambao tumeweka real money on the line, nina uhakika tunajua zile feelings inapotokea tunakatazama ka akaunt ketu ndo kanaelekea kuungua... Wahuni wanasemaga "BADAMU BANAMWAGIKA"...

Kuna kila hisia unazipata... Unatamani uvunje simu, uzime data, urudishe muda nyuma hafu usifungue hzo position, unatamani broker akuonee huruma, mana kamtaji ulikopa... And on extreme situations, unatamani uikamate candle uishushe, kama ulisell, au uipandishe kama ulibuy....


Trust me, you are not alone. Hisia kama hz kila mtu anazipata, na zinakuwa mbaya zaidi kama hatuna uelewa hata kidogo wa trading psychology...

Lakini, unaweza kujiandaa, kuzishinda hisia hz kama tu utajiandaa mapema, kabla ya kuanza kutrade na real account.

Brokers waliweka demo accounts ili watu wajifunzie kutrade, lakini it doesnt make sense kutumia demo kwa muda mrefu then kwenda direct kwa real akaunt, why?

Katika market kuna watabe wanaitwa Market Makers, hawa wapo ili ukiloose wapige hela(huu ndo ukweli mchungu), lakini, what if ukaloose $20000 kwa demo? Wanapata sh ngapi? Hawapati hata shilingi. Ila ukiloose $2 kwa real wanapata $2, na kama kuna traders 100 walioloose $2 ..... You do the maths...

Hii ndiyo inayotupa ugumu unapotumia demo na kuhamia real, mazingira yanabadilika kabisa... Kuna kutanua spreads, kuna fakeouts, kuna wicks kwa Stop hunt na mengine mengi "mazuri" ambayo huyapati kwa demo...


Njia pekee ya kucheza na mazingira ya real account, pasipo kurisk kiasi kikubwa cha pesa ni kutumia cent accounts...

Hizi ni akaunt zinazotumia real money na hawa jamaa wanachezaga nazo kama kawaida.

Kuna broker wengi wanao offer cent accounts, ninaowafahamu ni FBS - FBS - online broker on the Forex market na Templer - https://templerfx.com

Kwa templer ( https://templerfx.com) deposit ya 1$ inasoma 100 kwa akaunt ya MT4 na $1 ni 2295 tu.

Kama wewe ni Newbie kabisa, badala ya kuanza na demo, anza na cent account... Ili uweze kuzizoea emotions utakazokutana nazo wakati utakapoenda real standard account, kwa sababu humo utatia mpunga na ukakosea analysis, utaona kabisa kabuku tatu kanavyoteketea...

Usisahau, kusoma Trading Psychology Books...

All the best!
 
Eros

Eros

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2012
Messages
400
Points
500
Eros

Eros

JF-Expert Member
Joined Jan 13, 2012
400 500
Wadau mi nipo Dodoma, nahitaji msaada kwenye Proof of address, nimewatumia Tickmill bank statement, lkn naambiwa haina quality
 
Nrangoo

Nrangoo

JF-Expert Member
Joined
May 22, 2017
Messages
841
Points
500
Nrangoo

Nrangoo

JF-Expert Member
Joined May 22, 2017
841 500
Kwa wale Trader ambao wangependa kumtumia broker Templerfx.

Broker huyu anakuwezesha kuweka PESA na kutoa kwa njia ya M-PESA.

Kujisajili ni rahisi sana kwa kutumia kitambulisho chako cha kupigia kura,kitambulisho cha Taifa, Leseni ya Udereva au kitambulisho chochote kinachotambulika na mamlaka husika, namba yako ya simu utakayotumia kuweka na kutoa pesa kwa broker pamoja na E-mail.

Ni broker pekee ambae anayekuwezesha kuweka kiasi kidogo kuanzia dollar ($) 1 kwenye akaunti yako ,pia vilevile ana huduma ya haraka sana wakati wa kutoa pesa yako, dakika 15-30 tiyari pesa inakuwa imeshatumwa kwenye account yako.

BAADA YA KUJISAJILI

Ndani ya saa 72 au chini ya hapo unakuwa na akaunti yako tiyari na kuanza kuitumia.

JISAJILI SASA
Wasiliana na mimi PM kwa msaada zaidi BURE.

Templer FX Trader
 
AMLIGHT

AMLIGHT

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2013
Messages
1,111
Points
2,000
AMLIGHT

AMLIGHT

JF-Expert Member
Joined Nov 29, 2013
1,111 2,000
JINSI YA KUDEPOSIT/KUWITHDRAW KWA BROKER YEYOTE KWA KUTUMIA MPESA.

Templer ( [URL='https://templerfx.com/']https://templerfx.com[/URL] ) wamejipatia umaarufu sana kwa sababu tu ya kuweza kudeposit na kuwithdraw kwa kutumia M Pesa.

ukweli ni kwamba, ukikaa na kufikiria, broker yeyote ambaye unaweza deposit kwa skrill, unaweza pia kudeposit kwa M Mpesa.

HOW..

Skrill ( [URL='https://templerfx.com/']https://skrill.com[/URL] ) ni online wallet ambayo unaweza ku upload pesa kupitia bank, au kuweka kupitia broker, na pia kutoa kwenda bank au kwa broker.

Templer, ana option ya Deposit/Withdraw kupitia Skrill Pia, tutaitumia njia hii kudeposit kwa broker mwingine kwa kutumia MPesa.

CHA KUFANYA:
1. Verify Card kwa Templer (Menu - MyTempler - Verifications - Credit Cards Verifications). kama huna akaunt fungua akaunt mpya hapa .
2. Open Skrill ( [URL='https://templerfx.com/']https://skrill.com[/URL] ) account.
3. Open the broker of choice's Account.

DEPOSITING TO BROKER OF CHOICE.
1. Deposit kwa Templer kwa Mpesa, kiasi unachotaka kudeposit kwa Broker unayemtumia. (ni nzuri ukiongeza kiasi kidogo kama buffer)
2. Withdraw kwa kutumia Skrill kutoka templer. hii itapeleka salio liwe kwa akaunt yako ya Skrill.
3. Deposit kwa Broker umtakaye ukitumia Skrill.

WITHDRAWING FROM BROKER VIA MPESA.
1. WITHDRAW from the broker to Skrill.
2. DEPOSIT to Templer Account using Skrill (the money withdrawn from the broker of choice)
3. Withdraw from Templer using MPesa.
4. Nenda kwa wakala:D

WORD OF CAUTION:
1. kama hauwezi kupeleka pesa skrill kwa mara ya kwanza, itabidi umuombe mtu akutumie udeposit Templer kabla ya kutoa. (broker wengine hufanya hivi kwa usalama)
2. ni nzuri ukajua deposit na withdraw value ya Dollar kwa mpesa kwa Templer (ziko tofauti kidogo)

ALL THE BEST!


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Forum statistics

Threads 1,334,130
Members 511,877
Posts 32,465,822
Top