Tuliounguza account za Forex trading

nusuhela

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2014
Messages
4,482
Points
2,000

nusuhela

JF-Expert Member
Joined Jan 26, 2014
4,482 2,000
Wajinga wanaendelea kuliwa tu
Wajinga kwa muda mfupi tu. Wakishakua welevu, ndipo mtakapoanza kujiuliza utajiri wameupata wapi? Au wanaiba, au ni Freemason, au ni majambazi, au ni wauza madawa ya kulevya? Hayo yote ni maswali ya masikini ambaye umasikini ameufanya kuwa utamaduni.

Unapoambiwa hakuna mafanikio rahisi, maana yake ni kuwa kile unachokiona ni kigumu kukuletea mafanikio, ndicho chenye mafanikio ukizingatia na kukifanya kwa ufasaha.

Niliunguza acc si chini ya 7. Lakini leo hii nina faida ya $130. Safari ya mafanikio ndo imeanza kwangu baada ya kuijua forex na ninajua namna ya kufanya.

Endeleo kusubiri na kupokea taarifa za watu kuliwa
 

AMLIGHT

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2013
Messages
1,112
Points
2,000

AMLIGHT

JF-Expert Member
Joined Nov 29, 2013
1,112 2,000
Choosing A Broker
(And Suggestions)

Unawezaje kuchagua broker? Kuna mengi ambayo unaweza kuyatilia maanani kabla hujachagua broker, na hvyo kukuepushia kuhamahama kwa mabroker tofauti tofauti.

Kuna waswahili wanasema "Utazunguka mabucha yote nyama ni ile ile", Trust me, wanakudanganya... Kuna mahali utapata nyama ya jana, kwingine ya juzi na kwngne ya leo leo

Hebu tuone sifa nzuri za mabroker.

1. Urahisi wa kuweka na kutoa pesa.

Hii ndo sifa ya kwanza na ya muhimu kuliko zote. Tunatrade ili tupate pesa, na pesa inayopatikana iweze kutumika pale inapohtajika.
Kama kuna ugumu katika kutoa pesa, then ni kama kuweka pesa bank isiyo na ATM, ambayo ukichelewa muda wa kazi ijumaa hata upatwe na tatzo jms, itabd usubiri j3... Mengine mnayafahamu...

2. Regulated Broker
Ni muhimu broker unayemtumia akawa regulated, kutrade na broker asiye regulated ni sawa na kumkopesha mtu laki tano, na hali unajua anadaiwa zaidi ya milioni.... Trust me, likitokea la kutoa (sio mara nyingi lakini), hauna hata wa kum consult.

3. Standard and Mini Accounts.
Standard akaunt ni zile ambazo ukideposit $1 utaiona hvyo katika trading platform, na mini ni zile ambazo ukideposit $1 katika trading platform unakuta 10 au 100 ( kuwa makini, sijaandika $10 au $100, kwa sbb haziwi dola tena AFTER BEING CONVERTED )
Mini akaunti ni MUHIMU SANA kwa newbies na wanaotaka kutest new strategies (this is half real half demo)

4. Customer Care...
Wote tunajua inavyoboa service provider anapozingua, hafu unampgia either hapokei, au hajibu ili kukupa msaada...

5. Unataka kutrade pair zipi?
Japo wote ni mabroker, co wote wana pair zinazofanana... Kuna wengine wana pair nyingi zaidi kuliko wengine. Kuna wengine wana Cryptocurrency wengine hawana... Ni muhimu kujua pair unayo itaka kama ipo, hasa pair ambazo ni Exotics... Ushawah ona pair inaitwa NOKSEK? au SGDJPY? Au EURPLN?

6. SPREADS.
hadi nimeandika kwa herufi kubwa!
Small spreads with commission? A bit large without commission? Ukikosea hapa, ni tabu tupu!

Suggestions:

JAFX ( JAFX - Trade With A Reputable Forex Broker )
Huyu sifa yake kubwa ni Cryptocurrency. Kuna cryptocurrencies zaidi ya 60, kwa huyu broker, na vile cryptos unaweza trade wakati wowote, kwa broker huyu hakuna jumamosi wala jumapili. Trade wakati wowote upendao.
Spreads zake kwa pair nyngne ni kubwa lakini bearable, ila Cryptocurrency ni ndogo sana ukilinganisha na mabroker wengne.


Templer FX ( TemplerFX | Trade With Standard And Cent Accounts
Sifa yake kubwa ni kuweka na kutoa kwa Mpesa, na wanajitahd katika customer services... Pia huyu ana Cent Accounts.


Pepperstone ( Pepperstone | Forex Trading with Pepperstone - Australia's Fastest Growing Forex Broker )
Broker wa australia ambaye akaunti yake ya razor ( small spreads with commission )sometimes hufika spreads zero kwa baadhi ya pair... Ugumu unakuja kwenye kufund, hana mpesa, lakini ana options nyingi, ikiwemo skrill ( www.skrill.com )na neteller.

Tickmill Tickmill - Trade With Trusted Forex Broker
Moja ya broker wanaoheshimika sana. Standard account yao ina spreads kubwa, pro ina spreads ndogo ikiwa na commission.
Kwa sasa wapo katika majaribio ya kudeposit kwa kutumia mpesa, airtel na tigopesa


Kuna sifa nyngne? Changia kwa reply ya post hii.

Trade Safely!
See You At The Top!
 

LURIGA

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2013
Messages
1,035
Points
2,000

LURIGA

JF-Expert Member
Joined May 26, 2013
1,035 2,000
Kawaida ilitakiwa tufanye demo, then tufanye na cent/micro account ndo twende standard account. Kuna vitabu vingne nimesoma vinasisitiza hili.

unapotrade na cent account ukideposit $1 inaenda kusoma 100 katika trading platform ($1=100c), now, kwa rate za broker namtumia kwenye cent acc (bado namalizia kutumia cent account, baada ya kuunguza standard account 3), $1 = 2239TZS, so unaweza kuanza kutrade na cent, ambayo ni real, na ukipata faida unawithdraw, kwa 2239 TZS tu.

Uzuri wa cent ni kwamb utajifunza kucontrol emotions, unlike demo ambayo co real money at all.

Tabu ni kwamba, kama ambavyo ni ngumu kupata hasara, ni ngumu kupata faida pia.

Lakini ikumbukwe kuwa akaunt hii ni ya kujifunzia analysis, na trading psychology kabla ya kwenda standard live.

Ushauri, tumia demo, then nenda cent, then nenda standard.

Uzuri wake broker huyu http://bit.ly/2hrv3Yo anazo zote tatu.

I hope I've been of help. Ukiamua kuregister ukapata shida ucsite kuntafuta.

All the best!
Naona mzee unasaka mshiko kwa njia nyingine (http://bit.ly/2hrv3Yo). Haya bwana wewe endelea kukuza mtaji wako!
 

Mr Suprize

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2014
Messages
956
Points
1,000

Mr Suprize

JF-Expert Member
Joined Dec 18, 2014
956 1,000
Join the Most trustworthy broker!!!
Templerfx!!!!
- Easy to Deposit your investment capital by Mobile Money Transfer (M-Pesa, Airtel Money) Just less than an hour, your account will be funded.
- Easy to withdraw you money(M-Pesa, Airtel Money) less than an hour your money will be in your phone ready to get from WAKALA!!
-Quick and Easy customer services.

Very Easy to join!!!
Click on the link below open account
TemplerFX | Promo

Kwa wale Wa forex templerfx ni broker mzuri sana kwa mazingira yetu ya bongo , ni rahisi kujisajili lakini pia njia za kutuma na kupokea Pesa yako ni rahisi mno!

Minimum deposit ni $1=Tsh2,240 tu
 

AMLIGHT

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2013
Messages
1,112
Points
2,000

AMLIGHT

JF-Expert Member
Joined Nov 29, 2013
1,112 2,000
ANZA NA MTAJI WA BURE WA $30 [NO DEPOSIT BONUS] YA TEMPLER.

[TERMS AND CONDITIONS LINKED]

Huenda ushatumia demo lakini uko na tatizo la mtaji... Au wengine, kama mimi, tumeunguza akaunti, jinsi ya kuanza tena ni ngumu, hasa linapokuja suala la mtaji....

Ikumbukwe kwamba, Templer pia atakupa uwezo wa kufund na kuwithdraw pesa zako kupitia Mpesa, kama utachagua kuendelea kumtumia, hata baada ya kupoteza hyo $30.

(Don't Worry, Hautodaiwa kama ukiiunguza)

ANGALIZO:
Bonus hii ni kwa wateja wapya tu, kama ulishakuwa na akaunti ya Templer na ukaiwekea pesa, hautoweza kuipata, labda ufungue akaunt tofauti.


HATUA ZA KUFUATA:
1. Fungua akaunti mpya hapa:

Templer FX | Start with $30 No deposit Bonus

2. Verify email, namba ya simu (ni bora iwe voda, kwa ajili ya kutoa faida na kuendesha akaunti) na utambulisho wako.
Menu > MyTemplerFX> Verifications

3. Nenda MENU > OPEN ACCOUNT > chagua LIVE UNIVERSALFX > ok

4. Nenda Menu > Bonus > chagua akaunti yako ya universalFX, WEKA REDEEM CODE:

NDB30JN42017

Then submit.

5. Utapokea $30 katika akaunti uliyoifungua, mara nyingi within an hour.

6. Kama huna MT4 for Android ,download hapa:

MetaTrader 4 – Applications for Android - Google Play

Start Trading!!
TRADE SAFELY!


Ukihitaji msaada wowote kuhusu kuipata hii bonus, nicheck inboxTerms And Conditions hapa:

TemplerFX No Deposit Bonus Agreements
 

jimmyfoxxgongo

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2013
Messages
5,067
Points
2,000

jimmyfoxxgongo

JF-Expert Member
Joined Jan 23, 2013
5,067 2,000
Wajinga kwa muda mfupi tu. Wakishakua welevu, ndipo mtakapoanza kujiuliza utajiri wameupata wapi? Au wanaiba, au ni Freemason, au ni majambazi, au ni wauza madawa ya kulevya? Hayo yote ni maswali ya masikini ambaye umasikini ameufanya kuwa utamaduni.

Unapoambiwa hakuna mafanikio rahisi, maana yake ni kuwa kile unachokiona ni kigumu kukuletea mafanikio, ndicho chenye mafanikio ukizingatia na kukifanya kwa ufasaha.

Niliunguza acc si chini ya 7. Lakini leo hii nina faida ya $130. Safari ya mafanikio ndo imeanza kwangu baada ya kuijua forex na ninajua namna ya kufanya.

Endeleo kusubiri na kupokea taarifa za watu kuliwa
Mkuu umeunguza bei gani jumla,

Aisee acc ikiungua unaweza usile chakula
 

j wara

Senior Member
Joined
Aug 18, 2016
Messages
122
Points
250

j wara

Senior Member
Joined Aug 18, 2016
122 250
mpaka sasa nishaunguza 70$ ..ila hapo mwanzo sikuwa nimeielewa forexx vizuri....ila siku zinavyozidi kwenda naona nakuwa expert hasa kwenye naked forex.....nimedeposit templer 10$ ijumaa iliyopita na mpaka sasa nishawithdraw 20$ na account inasoma 40$ .
Kiufupi nikwamba forex ni real and legit business sema inahitaji mtuu mwenye umakini mkubwa na anayeweza kuona wengi wasipoona...unaweza usitumie indicators hata kidogo ila kwa mtazamo sahihi wa trends plus resistance na supports, ukapiga pesa mpaka bhaac....na wala news zisikudhuru to large extent.
Ila you have to know that bila kuliwa huli.... usitegemee account history ikawa na profits tu, loss lazima ziwepo. Ila loss tatu kwenye win kumi , kuna shida gani ?
 

exburnny

Senior Member
Joined
Jun 17, 2014
Messages
191
Points
250

exburnny

Senior Member
Joined Jun 17, 2014
191 250
mpaka sasa nishaunguza 70$ ..ila hapo mwanzo sikuwa nimeielewa forexx vizuri....ila siku zinavyozidi kwenda naona nakuwa expert hasa kwenye naked forex.....nimedeposit templer 10$ ijumaa iliyopita na mpaka sasa nishawithdraw 20$ na account inasoma 40$ .
Kiufupi nikwamba forex ni real and legit business sema inahitaji mtuu mwenye umakini mkubwa na anayeweza kuona wengi wasipoona...unaweza usitumie indicators hata kidogo ila kwa mtazamo sahihi wa trends plus resistance na supports, ukapiga pesa mpaka bhaac....na wala news zisikudhuru to large extent.
Ila you have to know that bila kuliwa huli.... usitegemee account history ikawa na profits tu, loss lazima ziwepo. Ila loss tatu kwenye win kumi , kuna shida gani ?
bila inducator mbna unapga mamb sana tu ni mwendo wa supply na demand zone plus trendilines mpera mpera tuuuuh
 

AMLIGHT

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2013
Messages
1,112
Points
2,000

AMLIGHT

JF-Expert Member
Joined Nov 29, 2013
1,112 2,000
FEW IMPORTANT LINKS:

FOREX TRADERS OF TZ:
Forex Traders Tz

FREE FOREX CLASSES:
SIMPLE FOREX STRATEGY GROUP

FREE FOREX BOOKS:
FX Trading Books

FREE FOREX SIGNALS:
+255MillionairesFX

FREE FOREX SIGNALS:
FreeForexSignals

TEMPLER BROKER:
Templer FX Trader

PEPPERSTONE BROKER:
Pepperstone - Australia's Fastest Forex Broker

TICKMILL BROKER:
Tickmill - Trade With First Class Forex Broker

FBS $50 NO DEPOSIT BONUS :
FBS $50 Welcome Bonus - Forex

HOW TO USE DUSUPAY (ONCE WAS TICKMILL MOBILE FUNDING METHOD):

FOREX VIDEO: THE SIGNS:
 

Forum statistics

Threads 1,355,182
Members 518,611
Posts 33,102,761
Top