Tuliounguza account za Forex trading

Develop Your Strategy And Be A Consistent Profitable Trader.

Kuna matatizo mengi linapokuja suala la kutrade.

Kuna kuchoma akaunt, kuna kuhold reds, kuna kupigwa kwa stop loss...

Je, umejiandaa vya kutosha kuweza kuhimili mikiki mikiki ya market?

Unajua wapi unapaswa kuopen trade, na wakati gani unatakiwa kufunga?

Unaweza jua, kuna hatua 3 muhimu ambazo hupaswi kuzi overlook.

Ukiipita na kuiacha moja, hali yako itakuwa mbaya...

1. SOMA.
Hakuna option nyingine hapa. Ni kusoma tu. Kuna vitabu vingi vya strategy tofauti tofauti ambazo unaweza kutumia, na kuapply ile unataka...
Kwa sbb wengi humu hawana access na vitabu, nliamua kuanzisha channel telegram ili iwe rahc kupata vitabu ambavyo vinaweza kusaidia kupata elimu ya haya mambo.
Vitabu vinapatikana hapa FX Trading Books


2. DEMO TRADING:
Hii hutumia virtual money, ambayo broker anaiweka katika akaunt ili uweze kujifunzia.. Hapa utajifunza kutrade, na hasa kujua nini ni nini... Kuanzia kufungua position na matumizi ya kawaida ya MT4...
Na kama ukikosea, the money you loose is not yours... Lakini ukipata faida, the profit is not yours, too..

3: LIVE TRADING:
Mimi binafsi, nimeigawa hii sehemu mbili, kuna accounts za cent/micro accounts na zile za standard akaunt...
Ni nzuri kama utaamua kutrade kwanza na cent account kabla ya standard account.

A. CENT ACCOUNT: Hii mimi huitumia kama Live demo. Akaunt ya namna hii unadeposit $1 na katika trading platform inasoma 100cents. (inakuwa 100).
Faida ya akaunti hii ni kukuandaa kwa kukupa REAL STRESS, EXCITEMENT, FEAR wakati trades zinapoenda kinyume na matarajio... Na kukupa CONFIDENCE wakati analysis iko poa.

B: STANDARD (UNIVERSAL) ACCOUNT: Akaunti hii ni ile ambayo kiasi kilichowekwa, kinakuwa sawa na kile kitakachokuwa katika trading platform... Na ukipoteza $1 umepoteza $1, tofauti na Cent akaunt ambayo utapoteza $1 kama utapoteza points (cents) 100 katika trading account.
Bila kutumia Cent akaunt, stress za hapa huwa ni ngumu sana kuvumilika...


USHAURI WA MWISHO:
Kosa kubwa tunalofanya wakati mwingine ni kutumia demo ya broker A na kisha kutumia live trading ya broker B.
Ikumbukwe kwamba kila broker ana settings zake, ana kuna tofauti ya spreads, kuna wengine wana commissions na wengine hawana, kuna wengine wana fixed spreads na wengine floating spreads...

Ni muhimu sana kama umeamua kutumia broker flan ni nzuri kama utamtumia huyo kuanzia demo, cent na standard account.
Hii itakusaidia kumzoea broker wako na kumtumia kwa urahisi.


Kuna mabroker wengi, lakini ni wachache wanatoa huduma za demo, cent na standard account.

Baadhi yao ni Templer FX na FBS

Remember: read more than you trade!
Read. Demo.Live. Repeat.
 
Tulio pitia hili janga tukutane hapa, kupeana uzoefu kidogo ilikuwaje kuwaje, umejifunza nn, na hatua gani umechukua kuepuka maumivu hayo yasijurudie.

Binafsi: usd 110 imeungua wiki hii.
Kwanza pole mkuu akafu naendelea kusoma....
 
Wakati naanza forex trading niliunguza zaidi ya account 8, nahisi zinafika account 12. Nimefika kipindi ambacho siwezi kuunguza account hata kama nikiwa na $10.

Namaanisha hata leo nikifilisika nitatafuta elfu 24,000 tu ambayo ni $10, nitaikuza kufika $100, hiyo nayo nitaikuza hadi $1000. Nikifika $1000 nina uwezo zaidi ya asilimia 100 kuingiza mshahara wa madaktari wa5 kwa kila mwezi.

Kama umeunguza account jua upo kwenye hatua ya kuimarika hasa kisaikolojia. Nina mwanafunzi wangu, kamaliza CPA juzi kati alianza na $100 akaifikisha $400. Then akacheza michezo ya kishamba akaunguza account yake yote. Akaifund upya kwa $100, leo ninavyozungumza ana account ya $3000 chini ya mwezi mmoja. Thats the power of forex!!
Brother nipe somo nataka kuingia kwene hiyo game. Nianzie wapi
 
Tupe somo braza. Nataka niingie kwene hiyo game ila bado sina uelewa na hii kitu

Jitahidi kabla ya kuingia uwe na uelewa , lakini zaidi uwe na muda mrefu wa kutrade demo
mpaka ifike mahala umekuwa specialist ktk pair fulani chache utazokuwa umezifahamu zinavyorun.

Akilini mwako usitegemee sana mentor sababu yeye si malaika .

Fx ni jitihada zako tu ,soma ,tumia video za YouTube na trade demo kwa muda mrefu mpaka utapojihakikisha unaelewa.
 
Jitahidi kabla ya kuingia uwe na uelewa , lakini zaidi uwe na muda mrefu wa kutrade demo
mpaka ifike mahala umekuwa specialist ktk pair fulani chache utazokuwa umezifahamu zinavyorun.

Akilini mwako usitegemee sana mentor sababu yeye si malaika .

Fx ni jitihada zako tu ,soma ,tumia video za YouTube na trade demo kwa muda mrefu mpaka utapojihakikisha unaelewa.
Thanks a lot
 
Nilikuwa sijui Jana kama Canada kulikuwa kuna news za employment na zilikuwa positive wakat huo NFP iko neg kuja kushtuka akaunti imeblow kwa pair ya USDCAD hii ndio Mara ya kwanza na ya mwisho sitarajii tena kuunguza
Duh, pole sana... Ulikuwa umefungua je position? Mana USDCAD ilikuwa kwa downtrend tayar...
c5071f7f602742964ad21ae92b88f1c9.jpg
 
Nilikuwa sijui Jana kama Canada kulikuwa kuna news za employment na zilikuwa positive wakat huo NFP iko neg kuja kushtuka akaunti imeblow kwa pair ya USDCAD hii ndio Mara ya kwanza na ya mwisho sitarajii tena kuunguza
Kusema ukweli news huwa zinakamilisha tu price action, na ungefanya analysis toka chart za higher time frame yaani kuanzia mwezi hadi ndogo zaidi hiyo pair iko down trend, na ukweli ni kwamba news haziwezi badili muundo wa price action.

Ushauri. Read more than you trade, practice sana ili uwe unaweza kuamini analysis yako

Market iko sahihi muda wote,Ila analysis ndio huwa zinakosewa
 
ANZA NA MTAJI WA BURE WA $30 [NO DEPOSIT BONUS] YA TEMPLER.

[TERMS AND CONDITIONS LINKED]

Huenda ushatumia demo lakini uko na tatizo la mtaji... Au wengine, kama mimi, tumeunguza akaunti, jinsi ya kuanza tena ni ngumu, hasa linapokuja suala la mtaji....

Ikumbukwe kwamba, Templer pia atakupa uwezo wa kufund na kuwithdraw pesa zako kupitia Mpesa, kama utachagua kuendelea kumtumia, hata baada ya kupoteza hyo $30.

(Don't Worry, Hautodaiwa kama ukiiunguza)

ANGALIZO:
Bonus hii ni kwa wateja wapya tu, kama ulishakuwa na akaunti ya Templer na ukaiwekea pesa, hautoweza kuipata, labda ufungue akaunt tofauti.


HATUA ZA KUFUATA:
1. Fungua akaunti mpya hapa:

Templer FX | Start with $30 No deposit Bonus

2. Verify email, namba ya simu (ni bora iwe voda, kwa ajili ya kutoa faida na kuendesha akaunti) na utambulisho wako.
Menu > MyTemplerFX> Verifications

3. Nenda MENU > OPEN ACCOUNT > chagua LIVE UNIVERSALFX > ok

4. Nenda Menu > Bonus > chagua akaunti yako ya universalFX, WEKA REDEEM CODE:

NDB30JN42017

Then submit.

5. Utapokea $30 katika akaunti uliyoifungua, mara nyingi within an hour.

6. Kama huna MT4 for Android ,download hapa:

MetaTrader 4 – Applications for Android - Google Play

Start Trading!!
TRADE SAFELY!


Ukihitaji msaada wowote kuhusu kuipata hii bonus, nicheck inbox



Terms And Conditions hapa:

TemplerFX No Deposit Bonus Agreements
 
Ukiwa unajiunga na Tickmill ...Je unatumia regurator yupi kati ya UK na Ushelisheli..?
 
Nilikuwa sijui Jana kama Canada kulikuwa kuna news za employment na zilikuwa positive wakat huo NFP iko neg kuja kushtuka akaunti imeblow kwa pair ya USDCAD hii ndio Mara ya kwanza na ya mwisho sitarajii tena kuunguza


Mkuu hivi hata kama kukiwa na hizo news na kwenye trade yako umeweka SL inawezekana uka blow account? Au wewe unatrade without SL.
 
Mkuu hivi hata kama kukiwa na hizo news na kwenye trade yako umeweka SL inawezekana uka blow account? Au wewe unatrade without SL.
Ee nasikia sometimes news huwa zinabomoa SL ila mara chache news za aina hiyo huwa zinatokea
 
Ee nasikia sometimes news huwa zinabomoa SL ila mara chache news za aina hiyo huwa zinatokea


Wakati wa news, movement ya market huwa fasta sana, wakati mwingne hata SL huwa haiko filled... Manake unaweka, lakn haifungi trade. Price inaipita fasta mno. Ndo mana wanashauri kama huna uhakika na news, then close trades zako kabla ya hzo news...

Mkuu hivi hata kama kukiwa na hizo news na kwenye trade yako umeweka SL inawezekana uka blow account? Au wewe unatrade without SL.
 
Tulio pitia hili janga tukutane hapa, kupeana uzoefu kidogo ilikuwaje kuwaje, umejifunza nn, na hatua gani umechukua kuepuka maumivu hayo yasijurudie.

Binafsi: usd 110 imeungua wiki hii.
Andika sasa uliunguzaje,umejifunza nini,unashaur nini
Na sisi tuandike
 
Wajinga wanaendelea kuliwa tu
Wajinga kwa muda mfupi tu. Wakishakua welevu, ndipo mtakapoanza kujiuliza utajiri wameupata wapi? Au wanaiba, au ni Freemason, au ni majambazi, au ni wauza madawa ya kulevya? Hayo yote ni maswali ya masikini ambaye umasikini ameufanya kuwa utamaduni.

Unapoambiwa hakuna mafanikio rahisi, maana yake ni kuwa kile unachokiona ni kigumu kukuletea mafanikio, ndicho chenye mafanikio ukizingatia na kukifanya kwa ufasaha.

Niliunguza acc si chini ya 7. Lakini leo hii nina faida ya $130. Safari ya mafanikio ndo imeanza kwangu baada ya kuijua forex na ninajua namna ya kufanya.

Endeleo kusubiri na kupokea taarifa za watu kuliwa
 
9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom