Tuliounguza account za Forex trading

AMLIGHT

AMLIGHT

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2013
Messages
1,111
Points
2,000
AMLIGHT

AMLIGHT

JF-Expert Member
Joined Nov 29, 2013
1,111 2,000
ANZA NA MTAJI WA BURE WA $30 [NO DEPOSIT BONUS] YA TEMPLER.

[TERMS AND CONDITIONS LINKED]

Huenda ushatumia demo lakini uko na tatizo la mtaji... Au wengine, kama mimi, tumeunguza akaunti, jinsi ya kuanza tena ni ngumu, hasa linapokuja suala la mtaji....

Ikumbukwe kwamba, Templer pia atakupa uwezo wa kufund na kuwithdraw pesa zako kupitia Mpesa, kama utachagua kuendelea kumtumia, hata baada ya kupoteza hyo $30.

(Don't Worry, Hautodaiwa kama ukiiunguza)

ANGALIZO:

Bonus hii ni kwa wateja wapya tu, kama ulishakuwa na akaunti ya Templer na ukaiwekea pesa, hautoweza kuipata, labda ufungue akaunt tofauti.HATUA ZA KUFUATA:

1. Fungua akaunti mpya hapa:

Templer FX | Start with $30 No deposit Bonus2. Verify email, namba ya simu (ni bora iwe voda, kwa ajili ya kutoa faida na kuendesha akaunti) na utambulisho wako.

Menu > MyTemplerFX> Verifications

3. Nenda MENU > OPEN ACCOUNT > chagua LIVE UNIVERSALFX > ok

4. Nenda Menu > Bonus > chagua akaunti yako ya universalFX, WEKA REDEEM CODE:

NDB30JN42017

Then submit.

5. Utapokea $30 katika akaunti uliyoifungua, mara nyingi within an hour.

6. Kama huna MT4 for Android ,download hapa:

https://play.google.com/store/apps/details?id=net.metaquotes.metatrader4

Start Trading!!

TRADE SAFELY!Ukihitaji msaada wowote kuhusu kuipata hii bonus, nicheck inbox
Terms And Conditions hapa:

TemplerFX No Deposit Bonus Agreements
 
Tmuller

Tmuller

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2016
Messages
1,777
Points
2,000
Tmuller

Tmuller

JF-Expert Member
Joined Oct 16, 2016
1,777 2,000
Jisajili Templerfx upate dollars 30 bure. Ukisha kamilisha usajili omba hiyo 30 kabla ya kudeposit

Templer FX Trader
 
sky walker

sky walker

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2018
Messages
1,175
Points
2,000
sky walker

sky walker

JF-Expert Member
Joined Feb 3, 2018
1,175 2,000

sasa mkuu ukitaka kutoa pesa kwa mpesa ina chuku mda gani hadi kufika.

na mbona sioni option ya ku withdraw kwenye templer
 
AMLIGHT

AMLIGHT

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2013
Messages
1,111
Points
2,000
AMLIGHT

AMLIGHT

JF-Expert Member
Joined Nov 29, 2013
1,111 2,000
sasa mkuu ukitaka kutoa pesa kwa mpesa ina chuku mda gani hadi kufika.

na mbona sioni option ya ku withdraw kwenye templer
Inategemeana na kiasi unataka kutoa, $20 itawah zaidi kufika kuliko $100.

Option ya kuwithdraw ipo katika Menu > Finance > Withdrawals
 
sky walker

sky walker

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2018
Messages
1,175
Points
2,000
sky walker

sky walker

JF-Expert Member
Joined Feb 3, 2018
1,175 2,000
Inategemeana na kiasi unataka kutoa, $20 itawah zaidi kufika kuliko $100.

Option ya kuwithdraw ipo katika Menu > Finance > Withdrawals
na kwenye bonus mi sijaelewa ni kuwa mfano ukafikisha dollar mia 300 utaruhusiwa kutoa yote au wana kiwango maalum
 
Nrangoo

Nrangoo

JF-Expert Member
Joined
May 22, 2017
Messages
834
Points
500
Nrangoo

Nrangoo

JF-Expert Member
Joined May 22, 2017
834 500
Kwa wale Trader ambao wangependa kumtumia broker Templerfx.

Broker huyu anakuwezesha kuweka PESA na kutoa kwa njia ya M-PESA.

Kujisajili ni rahisi sana kwa kutumia kitambulisho chako cha kupigia kura na namba yako ya simu utakayotumia kuweka na kutoa pesa kwa broker.

JISAJILI SASA
Usisite kuomba msaada

TemplerFX | Promo
 
AMLIGHT

AMLIGHT

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2013
Messages
1,111
Points
2,000
AMLIGHT

AMLIGHT

JF-Expert Member
Joined Nov 29, 2013
1,111 2,000
hebu nipe njia kamili ya ku deposit, na huwa inachukua mda gani
Menu > finance > deposit then utajaza kama picha hapo... 5 ni amount ya mfano.. Ukibinya deposit, utafuata hatua zinazofuata... Huchukua kuanzia dk5 hv, kuona balance kwa akaunt. Binafsi haijawah kuzidi 30mins cjaona balance.
screenshot_20180424-233124-2-jpg.756007
 
AMLIGHT

AMLIGHT

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2013
Messages
1,111
Points
2,000
AMLIGHT

AMLIGHT

JF-Expert Member
Joined Nov 29, 2013
1,111 2,000
mkuu amefika kwenye sehemu ya deposit select account to fund account haionekani na account amefungua kama picha inavyo onekana hapo chini.

maana hiyo live unisfx ni ile ya bonus alio fungua sasa sijui ndo live nyenyewe au ana takiwa afungue nyingine

View attachment 756073
Huwezi kufund kwa bonus acc. Utatakiwa kufungua new live trading account utakayoweza kuifund
 
sky walker

sky walker

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2018
Messages
1,175
Points
2,000
sky walker

sky walker

JF-Expert Member
Joined Feb 3, 2018
1,175 2,000
Huwezi kufund kwa bonus acc. Utatakiwa kufungua new live trading account utakayoweza kuifund
sasa akienda kwenye open account ina toa option ya cent account na universalfx na muslim. ndo zinaoneka
 
P

pachanya

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2012
Messages
1,389
Points
2,000
P

pachanya

JF-Expert Member
Joined May 20, 2012
1,389 2,000
Jisajili Templerfx upate dollars 30 bure. Ukisha kamilisha usajili omba hiyo 30 kabla ya kudeposit

Templer FX Trader
Mkuu naomba unitumie masharti ya kuweza kupata hela ya bonus kutoka kwa templex endapo utaipata
Manake bonus nyingi zinakua na masharti mengi yanayoambatanishwa nayo
 
Forum statistics

Threads 1,314,379
Members 504,911
Posts 31,825,280
Top