Jina lile lile mkuu sijabadilisha nilihamia nalo jambo forum na then humu kwa sasanamkumbuka pamoja na majaliwa sijui maliwaza naona mzee jina lile lile
Jina lile lile mkuu sijabadilisha nilihamia nalo jambo forum na then humu kwa sasanamkumbuka pamoja na majaliwa sijui maliwaza naona mzee jina lile lile
mkuu hii kitu kitambo sanaaa 2002 siwezi kumbukaulikuwa unaitwa nani?
unachafua hali ya hewa mkuu mkuu Alonso14Hiyo imekuhusu nini wewe au na wewe unaitaka?
Kawatishe wadogo zakoendelea tu ukiona unashindwa ku-access JF usilielie
Nipigehivi bado tu hujapigwa BAN ngoja niiwaishe
Ngumi tena usawa huu kuna watu wanapigana ngumiKwaiyo wewe kama wewe unataka ngumi au?
haikufikia kuogopa mitandao kama sasa aisekipindi kile kulikuwa huru hata baadhi ya member tulikuwa tunajuana kwa sura
Kumbe ndo weweee..... Mi niliendeleza jina langu hili hiliDHW niliitwa Batuli
Muhenga za siku?!
[emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119]Habari wanajamvi. Kabla ya kuanza kwa mtandao wa JF kulikuwa na mtandao wa DHW ambao member wengi tulihama tukahamia huku
Kama ulikuwepo Enzi zile naomba nyoosha mkono juu
Dah! Nauikumbuka sana hii mkuu.Na wengi tulokuwa DHW tulikuwa MIG33 mnaikumbuka hii app kwenye simu za nokia