Tuliotoka tangu Darhotwire tukutane hapa

Tuliotoka tangu Darhotwire tukutane hapa

nimepata sana vocha nyingi za tigo kwa kujibu maswali pale
 
Hata Mimi Trivia nilikuwa mdau pigana sana vikumbo na kina Lorenzo, Ccomputer huyu alikuwa anajua majibu yote alafu alikuwa black american anajibu faster mno, Valentinoo, Ggenius Mkuu wewe ndie yule ulijiita Konda?

Mwanzo Mwanzo wa Jambo forums na Jamii Forums ulikuwa ukizungumza neno dhw unakula ban au thread inafutwa hahahaha ilikuwa like adui mkuu
Dah...kitambo nilikuwa skonga bado....najifunza Java....elimu ya watu wazima....niliwabutua..Dah....😀😀😀😀
 
Mtoto wa mjini

Zeze

Mangeka

Maliwazo

Jah man nilikua nakupendaga 😊😊😊
 
aisee kule ilikuwa balaa, private chat sasa huko ilikuwa ni balaa. Watu waliambukizana HIV kwa sana tu na wengi walifikwa na drama za kufa mtu, wakina SHY, wakina Sadrat, allen, achaar, Kivumoni, night angel alivuma sana na wengine wengi, nakumbuka sana kule.
Alijiita Ahlen Sio allen
 
Darhotwire ilikuwa imejaa watu wa IT
 
Habari wanajamvi. Kabla ya kuanza kwa mtandao wa JF kulikuwa na mtandao wa DHW ambao member wengi tulihama tukahamia huku

Kama ulikuwepo Enzi zile naomba nyoosha mkono juu
hili kusanyiko unaloitisha lina kibali chochote cha polisi ?
 
Kivipi? unamaanisha Watumiaji au Maadmin?
Watumiaji wengi. Maana hakukuwa na smartphone yaani unakuta ni mafundi IT, au mtu ana computer ofisini. Unampata asubuhi na mchana tu ikifika saa 11 jioni ameshalog off.
 
huko nilipata na demu kabisa
Marafiki dot com Nilihisi watumiaji wake hawakuwa na akili vizuri... fujo tupu flooding hadi ujumbe unaochat na mtu huuoni tena yaani uwe na kazi ya kuscoll down ili kusoma ujumbe yaani ukikuta mstaarabu unamshauri aingie dhw
 
Watumiaji wengi. Maana hakukuwa na smartphone yaani unakuta ni mafundi IT, au mtu ana computer ofisini. Unampata asubuhi na mchana tu ikifika saa 11 jioni ameshalog off.
Sio Wote maana haiwezekani kuwa na aina ya watumiaji wa aina moja pekee...

Kuna wadau tofauti sana maana kuna group la whatsapp pia almost kila mtu ana issue zake tofauti mno na IT... sikatai kabisa Mchana kuna mdada nadhani aliitwa Suzzy alikuwa kama secretary kama sikosei so Mchana yupo kwa sana tu but Usiku G'' me Mchana sikuwa naweza maana nilikuwa job na job ilikuwa ngumu sana kupata mda wa Kuchat dhw, So Usiku tu siku nyingine inafika hadi saa nane kuna unacha na watu wa nchi mbali mbali wengine kwao inakuwa mchana au asubuhi huku Tz ni Usiku
 
Sijasema wote ila asilimia kubwa ilikuwa hivyo. Na hao ambao walikuwa na access ya computer ofisini, usiku wengi walikuwa ni wa nje ya nchi
 
Back
Top Bottom