Tuliotoka tangu Darhotwire tukutane hapa

Habari wanajamvi. Kabla ya kuanza kwa mtandao wa JF kulikuwa na mtandao wa DHW ambao member wengi tulihama tukahamia huku

Kama ulikuwepo Enzi zile naomba nyoosha mkono juu
Mimi Mmoja waoooooooooooo
 
Enzi ezo wanaume wa humu ndani alikuwa waogo balaa [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]kuna mmoja alinitokea akapanga tuonane pale nyumba ya sanaa kumuona sura yake nilimruka futi 100 kaniuliza wewe ndio petty nikamwambia hapana anasura yenye ukakasi utafikiri kalamba pilipili [emoji16][emoji16]
 
ha ha ha
 
Back
Top Bottom