Risk manager
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 8,837
- 17,484
- Thread starter
- #41
Mzee utakubali kubadili lugha yaani kama bachela yako umepiga English zen huko kwa kirusi. Uwe unacheki website ya wizara ya elimu zote huwa wanaziweka hapo mkuu.u naomba tu hakuna longolongomasters km itawezekana nitaunganisha na phd kabisa, kuna site za scholarship niliangalia but msimu umekwisha mpk mwakani ila nilitaka kua na uhakika ili nipate pakuanzia badala ya kutokua na pakuanzia
Sent using Jamii Forums mobile app