Risk manager
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 8,829
- 17,455
- Thread starter
- #21
Nilikuwa na Lyudmila mkuu sio Tatiana wala Tamara sashaVp Tatiana ulimuacha mzima?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilikuwa na Lyudmila mkuu sio Tatiana wala Tamara sashaVp Tatiana ulimuacha mzima?
Tupo Rudn nowadays mkuu. Ulikuwa unapenda kutumia kafe IPI mkuu sana.sema libaridi lao linaboaPatrice Lumumba University..tupoo..
Huko unalipa pesa yako mwenyewe au ya mzazikupata uzamini wa kusoma huko ..mchakato wake ukoje kwa wale walioenda kwa huko ...tupeni njia na wengine waweze kwenda huko
Machange nakupata sana.hauna ndugu yako aliyepo Jwtz kweli. Akina upendo machange.shimboni
Unataka ukasome urusi mkuukupata uzamini wa kusoma huko ..mchakato wake ukoje kwa wale walioenda kwa huko ...tupeni njia na wengine waweze kwenda huko
hahaaaaNa kwa wale waliobeba box Russia waseme pia sio kila mtu kujidai akienda kusoma tena masomo ya elimu ya juu tu na kula starehe umwanzo mwenga.
Mmmh nadhan utakuwa peke yako....[emoji87] [emoji1]Na tuliosoma PYONGYANG tukutane wapi
Baridi ni kawaida kule kuna misimu ya majira kama ilivyo huku KWETU mkuu. Kwa level gani unataka uende ukasome.ndio mkuu nikipata udhamini naenda ingawa kwa sasa najua kuna baridi ya kufa mtu huko si mchezo
Baridi ni kawaida kule kuna misimu ya majira kama ilivyo huku KWETU mkuu. Kwa level gani unataka uende ukasome.
Baridi ni kuanzia sept inaanza mpaka march mwishoni ndipo jua linapoanza kuonekana ila kama hiyo Dekabri I.e December ni full barafu na smog kubwa hauoni mbali sana.MIE Nina uzoefu na Moscow na saint Peter's burg
Sent using Jamii Forums mobile app