Tuliosomea kwa Putin na Medvedev tukutane hapa

Tuliosomea kwa Putin na Medvedev tukutane hapa

Waliosoma kwa putin miaka hiyo kama ni jeshini vichwa vimelipuka na kama ni mtaani ni wajanjawajanja kama dr louis shika.
 
The best shawama ziko Russia Dalagaya,Prihadite!!! Bongo Baltika inaonekana bia ya wenye nazo ilihali Russia ndio the cheapest piva,kinywaji cha wallala hoi. Wachaga kule huwa wanakuwa wehu kwa pombe!!!
Mkuu hadi Russia akina mangi wapo?
 
Back
Top Bottom