Jambazi
JF-Expert Member
- Jan 18, 2014
- 16,654
- 18,805
Kuna watanzania walikuwa wanasoma S.Korea sijui wanaishia wapi... Kipindi cha nyuma mwaka 2007 kuna kama 2 nilikuwa nawafahamuNipo huku kiongozi namalizia mwaka..najifunza kutengeneza Yale mambo yetu yanayomjambisha bwana Trump...
Just kidding.