robbyr
Senior Member
- Apr 8, 2017
- 168
- 281
Maumivu si mpaka ukatwe na wembe bali ukatili wa NSSF kukataa pesa yako baada ya kuacha sekta binafsi na kujiunga na serikali. Sawa sheria walizoweks nizakinyonyaji kwa mazingira mengine.
Basi kama inashindika wahamishie pesa za mwanachama kwenye mfuko mwingine aliyohamia.
Sekta binafsi wanaumiza sana na siku ukiachana nao angalau upoze majeraha ya mateso lakini bado NSSF kupitia kanuni zao za kinyonyaji wameendelea kushikilia pesa.
Pili wasipotoa pesa basi ziwe zinaongezeka riba kwani wanatumia pesa nyingi kujenga, kukopesha na kuendesha miradi mingi sana.
Wizi wa NSSF NI UKOLONI MAOMBOLEO ingalia tulijua msaada.