Sigara Kali
JF-Expert Member
- May 28, 2017
- 3,711
- 8,765
Ni ruksa kuja kukutembelea.......?Nipo nyegezi corner hapa.
Karibu jirani.Ni ruksa kuja kukutembelea.......?
Weewe nikiboko nilikua sijcheka siku nzima ya leo....😀😀Jumatatu nipo magomeni huku mnadani
Jumanne nipo kitangiri mnadan
Jumatano kiloleni
Alhamis mapumziko
Ijumaa pale nyakato national mnadani
😀
Jmosi makoroboi namshikia mtu kusagulasagula
Jpili ndani ya saba saba huko ilemela
kazi ya umama ntilie haijawahi muacha muuza mitumba salama [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Okay nashukuru, pindi nikipata muda nitajongea..................Karibu jirani.
Huyo ni wewe kwenye avatar?Karibu jirani.
NdiHuyo ni wewe kwenye avatar?
Karibu sanaOkay nashukuru, pindi nikipata muda nitajongea..................
Asante, usiku mwema sisy.