enjai ya kyasha
JF-Expert Member
- Apr 6, 2017
- 3,065
- 3,585
Niko kijiweni hapa
Teh tehNipo nyegezi corner hapa.
Kijiwe cha wapi?Niko kijiweni hapa
Mwanza kubwa. Sehemu gani?Salaam
Jamani ningependa kukutana na members wa JF walioko Mwanza city ,tupeane madili mbali mbali
Ni hayo Tu.
Mkuyuni.Ni ruksa kuja kukutembelea.......?
Aaaah tunaonana kila sikuTeh teh
Mbona sijawahi kukuona?
Ah ah ah ahAaaah tunaonana kila siku
Sawa sawa mkuuAh ah ah ah
Usijali hata hapa JF tumeonana pia. Nipo hapa Nyegez corner napotezz muda ili mida fulani nirud home.
Mi natamani nije nikusalimie. Naruhusiwa?.Nipo nyegezi corner hapa.
Huwa nafurahi sana kuwa JF sbb unaweza kuchat na mtu kumbe ni jirani yako kbsa au inawezekana ni rafiki kipenz kbsa.Sawa sawa mkuu
Karibu jiraniMi natamani nije nikusalimie. Naruhusiwa?.
Hahaha unahisi nani? Me nakuona hapaaHuwa nafurahi sana kuwa JF sbb unaweza kuchat na mtu kumbe ni jirani yako kbsa au inawezekana ni rafiki kipenz kbsa.
Nahisi km.......... Lkn sina uhakika.
Nashkru Jirani....Japo mie npo Nyasaka huku.Karibu jirani
Ha ha ha ha ha haHahaha unahisi nani? Me nakuona hapaa
Ha ha ha ha ha ha
Nitakwambia jirani. Humu spy ni wengi sana.
Kwani unauza unga mkuu......au......nani tena wana -spyHa ha ha ha ha ha
Nitakwambia jirani. Humu spy ni wengi sana.
Makosa ya mtandao mkuu. Bora hata ningekuwa nauza ungaKwani unauza unga mkuu......au......nani tena wana -spy
Oh! Karibu sana mkuu. Huku tunaitwa wamikoani utafikiri dar ni nchi.Ilemela mahakamani nawakilisha hapa
Tuonane mgosiNipo nyegezi corner hapa.