Tulioko kwenye ndoa tupeane uzoefu

Tulioko kwenye ndoa tupeane uzoefu

Hahahahah
Mambo ni poa Kasiee....

Huko milimani J3 napandisha,
Nami naenda kukabidhiwa kihamba eti nijenge!!?

Sasa nijenge alafu aishi nani? Wkt Kasie hataki ndoa??

Watajenga wenyewee bhanaa!!

Love you Kasieeee

Sasa Mangii, wee hicho kihamba chukua kisha jenga, ukipata mbbora oa ukikosa akina Kasie tutakuja siku moja moja kutia baraka ila hiyo taasisi siitamani hata kidoncho.

Safari njema Mangii.
 
Sasa Mangii, wee hicho kihamba chukua kisha jenga, ukipata mbbora oa ukikosa akina Kasie tutakuja siku moja moja kutia baraka ila hiyo taasisi siitamani hata kidoncho.

Safari njema Mangii.
😂😂😂nadhan nna mengi ya kujifunza hapa kwako..ilikuaje ukatoka😊
 
Sasa Mangii, wee hicho kihamba chukua kisha jenga, ukipata mbbora oa ukikosa akina Kasie tutakuja siku moja moja kutia baraka ila hiyo taasisi siitamani hata kidoncho.

Safari njema Mangii.
Hahhahahaah

Mi sijengi mpaka mnyamwezu uingie ndani
 
Ni misingi flani flani tu demi, na sio kwamba hawana mikwaruzani, ipo ila overall hawajawahi juta

sasa ww una miaka mi3 ya ndoa atajuta nn hapo😊😊mie mwenyew nilikua nasikizwa sana tu sasa hv ht nikiomba big G original atasingizia watoto..atasema sna hela nimetoa ada sn kbs ..bas anikute nadamshi kwa kamshahara kangu bado ubwate!ww km umeshindwa mtunza mkeo ni bora uache ajitunze mwenyewe..👊
 
mkuu weka hapa ni changamoto gani unazokumbana nazo? tuanzie hapo kwanza.
 
😂😂😂nadhan nna mengi ya kujifunza hapa kwako..ilikuaje ukatoka😊
Sikuwahi kuingia kwenye hii taasisi Ila kwa mahusiano niliyopitia siitamani hata.

Baadae ya kukutana na Dadii, kuna siku alinipeleka kwenye duka wanalokodisha magauni ya harusi akataka nijaribu linalonitosha na nililolipenda.

Sikubisha wala kujua kwanini anafanya hivyo. Tulipomaliza nikatoka nimelivaa, alilipia kukodisha akanipeleka nikafanye make up kisha tukaenda hotel, akasema leo sikuoi ila nataka kuishi na wewe maisha nje ya ndoa kiungo chetu kikubwa ni kuheshimiana na upendo.

Hadi leo sijawahi kutamani ndoa, sijawahi kumchoka Dadii na wala sifikirii kumuacha hata iweje.

Mahaba Mia Mia kwako Dadii Sisemi haya ili watu waache ndoa zao hapana. Kila mtu na aishi vile anapata amani moyoni.
 
sasa ww una miaka mi3 ya ndoa atajuta nn hapo😊😊mie mwenyew nilikua nasikizwa sana tu sasa hv ht nikiomba big G original atasingizia watoto..atasema sna hela nimetoa ada sn kbs ..bas anikute nadamshi kwa kamshahara kangu bado ubwate!ww km umeshindwa mtunza mkeo ni bora uache ajitunze mwenyewe..👊
Time will tell
 
Maisha ya ndoa ni kujiandaa kisaikolojia, coz sehemu kubwa (90%) mnafanya majukumu, only 10% ndo mapenzi sijui kubebishana. Sasa msipokubaliana na huu ukweli mchungu, lazima utachepuka au mwenzio atachepuka kujazia hizo asilimia za mapenzi, teh!!
 
Back
Top Bottom