Tulio single, tujuzane changamoto tunazokutana nazo

Tulio single, tujuzane changamoto tunazokutana nazo

Kuna sababu nyingi za kua single,( tuachane na sababu)
Kwa upande wangu hua kujifeel lonely sana mpaka nataman nipata namba ya dada yoyote nimpigie ata animalizie dk kadhaa, kupoteza mudi ya. Kufanya kazi nk.

Inahotaji kujitolea sana
Dawa ni kuachana na u-single. Wanawake wote hao huna hata mmoja?!
 
Kila siku tunaulizwa

Unaoa lini mara wengine wifi hajambo ?
Hahahaa yaani jamani swali linanikera hili, ama ukiwa kwenye harusi za watu unaambiwa tunasubiri ya kwako, mbona hujawahi tuletea shemeji??
 
Kila siku tunaulizwa

Unaoa lini mara wengine wifi hajambo ?
Na upweke uuwiii, kuna saa unatoka kwenye mihangaiko and you wish hata mtu akupigie simu akwambie pole na hakuna, mchungaji wangu kaniambia J.Lee tafuta binti aliyemaliza darasa la saba ukae nae usikae peke ako mwanangu....nikacheka tu
 
Ukiwa singo hakikisha una hela hela ili mafem wazuri uwachape chape..... Unaenda kokote bila waswas unakamata unaenda kunyoa..... Ukiwa huna uhakika na visent japo vidogovidogo usingo mgumu sana ukipatwa na nyegezi kumtongoza mpk upate aseeeh kazi.
 
Back
Top Bottom