Tulio single, tujuzane changamoto tunazokutana nazo

Tulio single, tujuzane changamoto tunazokutana nazo

Kuwa single naomba usikie kwa jirani bora ya mwanamke ila wanaume ni hatari, unaweza kuunga kifurushi cha dk 15 ukawapigia ndugu na jamaa ila mpk mwisho wa ku-expire kifurushi unashangaa dk zipo nyingi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Haha mkuu umenifanya nismile muda huu, njoo nikupe kapaka kamoja ili usijihisi lonely...
Kuna sababu nyingi za kua single,( tuachane na sababu)
Kwa upande wangu hua kujifeel lonely sana mpaka nataman nipata namba ya dada yoyote nimpigie ata animalizie dk kadhaa, kupoteza mudi ya. Kufanya kazi nk.

Inahotaji kujitolea sana
 
Back
Top Bottom