Ndalilo
JF-Expert Member
- Jan 30, 2013
- 2,964
- 6,350
Kama ndio njia pekee ya kuiendeleza hii nchi, basi jibu langu ni NDIO. China waliokuwa sawa na sisi miaka kadhaa nyuma walipigaje hatua? Thailand, Malaysia, Singapore? Hawa wote si wenzetu kabisa kiuchumi mwaka 1960? Nasikia China walipiga kazi kwa filimbi chini ya MAO.Kwanini unasema feki, unataka mambo ya kutandikana bakora yarudi