Tulichofichwa ni siku na saa, siyo majira

ward41

JF-Expert Member
Apr 3, 2022
397
1,394
Biblia imeficha siku na saa Kahusu ujio wa Yesu Christ. Haijatuficha majira. Ni kama kifo cha mwanadamu tumefichwa siku na saa lakini sio miaka.

Kifo cha mwanadamu ni miaka 70-80. Kuhusu unyakuo wa kanisa na mwisho wa dunia, Biblia imetoa ratiba za wazi kabisa. Kama husomi ni wewe tu umeamua kutosoma.

U kweli ni kwamba tumefika. Hapa tulipo tupo muda wa nyongeza. Na muda wa nyongeza unayoyoma sana. Cha ajabu, wachungaji hawafundishi hiki kitu sijui kwa nini.

Na wakristo wengi wamelala. Hawajui kabisa kwamba tumefika wapi. Ndugu zangu, hiki kitu kimekaribia sana

Tukifika 2033 unyakuo haujatokea ni bahati sana, sana, sana.
Ushauri wangu amka, acha uzembe mkristo, kama huna Yesu mtafute. Muda hatuna tena.

Ghazabu ya Mungu I malangoni, hutaweza maisha baada ya unyakuo. Maisha yatakuwa hatari sana. Unyakuo uko karibu mno, mno. Shuhudia watu, fundisha watu, wapeleke watu kwa Yesu
 
Hivi wewe ndio yule aliyeacha Masomo ya Chuo kikuu na kisha kuachisha Masomo Watoto wadogo kule Namtumbo siku za hivi karibuni?.Kweli Watu wangu wanaangamia kwa kukosa Maarifa.

Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
 
Biblia imeficha siku na saa Kahusu ujio wa Yesu Christ. Haijatuficha majira. Ni kama kifo cha mwanadamu tumefichwa siku na saa lakini sio miaka.

Kifo cha mwanadamu ni miaka 70-80. Kuhusu unyakuo wa kanisa na mwisho wa dunia, Biblia imetoa ratiba za wazi kabisa. Kama husomi ni wewe tu umeamua kutosoma.

U kweli ni kwamba tumefika. Hapa tulipo tupo muda wa nyongeza. Na muda wa nyongeza unayoyoma sana. Cha ajabu, wachungaji hawafundishi hiki kitu sijui kwa nini.

Na wakristo wengi wamelala. Hawajui kabisa kwamba tumefika wapi. Ndugu zangu, hiki kitu kimekaribia sana

Tukifika 2033 unyakuo haujatokea ni bahati sana, sana, sana.
Ushauri wangu amka, acha uzembe mkristo, kama huna Yesu mtafute. Muda hatuna tena.

Ghazabu ya Mungu I malangoni, hutaweza maisha baada ya unyakuo. Maisha yatakuwa hatari sana. Unyakuo uko karibu mno, mno. Shuhudia watu, fundisha watu, wapeleke watu kwa Yesu
Hakuna mtu aliyekufa atarudi kuwa hai tena hapa duniani, hakuna hakuna hakuna usidanganywe wewe. Utakufa babu yako na baba yako kisha wewe, watoto na wajukuu wako bila Yesu kurudi, HATARUDI. Atakaemrudisha alikuwa na uwezo wa kumzuia asife. Omba arudi babu yako kwanza kabla ya kusubiri arudi babu wa mwenzio.

Harudi nenda kakojoe ulale, Ila hii dunia kunawezekana kukatokea jambo ambalo linaweza kutuua wote au wakabakia watu wasiozidi 10m tu dunia nzima. Inawezekana tukafa wengi na dunia akirudishiwa upya misitu, mito, maziwa na wanyama wote waliotakiwa kuwepo, lakini sio aliyekufa arudi tena. Kama mbuzi uliyemchinja na kumla harudi basi hata wewe uliyemchinga na kumla hutarudi kama ukifa.
 
Biblia imeficha siku na saa Kahusu ujio wa Yesu Christ. Haijatuficha majira. Ni kama kifo cha mwanadamu tumefichwa siku na saa lakini sio miaka.

Kifo cha mwanadamu ni miaka 70-80. Kuhusu unyakuo wa kanisa na mwisho wa dunia, Biblia imetoa ratiba za wazi kabisa. Kama husomi ni wewe tu umeamua kutosoma.

U kweli ni kwamba tumefika. Hapa tulipo tupo muda wa nyongeza. Na muda wa nyongeza unayoyoma sana. Cha ajabu, wachungaji hawafundishi hiki kitu sijui kwa nini.

Na wakristo wengi wamelala. Hawajui kabisa kwamba tumefika wapi. Ndugu zangu, hiki kitu kimekaribia sana

Tukifika 2033 unyakuo haujatokea ni bahati sana, sana, sana.
Ushauri wangu amka, acha uzembe mkristo, kama huna Yesu mtafute. Muda hatuna tena.

Ghazabu ya Mungu I malangoni, hutaweza maisha baada ya unyakuo. Maisha yatakuwa hatari sana. Unyakuo uko karibu mno, mno. Shuhudia watu, fundisha watu, wapeleke watu kwa Yesu
Umeandika uzwazwa
 
Back
Top Bottom