PostGE2025 Tulia kawa kama Ndugai, kuna siku mtashangaa kaita press

PostGE2025 Tulia kawa kama Ndugai, kuna siku mtashangaa kaita press

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Haka hakana faida kwa taifa kametumika km ndomu
huku MBEYA Tuna hasira nako sana
Tutakatembelea kukasalimia 9dec..
 
Haka hakana faida kwa taifa kametumika km ndomu
huku MBEYA Tuna hasira nako sana
Tutakatembelea kukasalimia 9dec..
Kale kasura kake na miwani unaweza jua parachichi la uyole limevaa miwani
 
  • Kicheko
Reactions: BRB
Tulia, siku mwanafamilia au ndugu yake atakapotekwa na na kupotea, ndipo atakumbuka kuwa alikuwa amebeba roho ya shetani siku ile ilipozuia hoja ya watu kutekwa kujadiliwa bungeni, na hakika hakuna atakayehuzunika naye.
 
Binafsi sijaelewa ujumbe aliokuwa anaumaanisha kwenye ile clip aliyoweka, ya binti anahangaika kuzoa jani na hatimaye kuamua kulifukia baada ya kushindikana kulizoa.
 
Maisha ya kuja na kuondoka yana tesa watu usiombe, mfano mwaka jana umepata cheo, gari, pesa, kiburi na majigambo alafu mwaka huu umekuwa wa kawaida.

Hapo lazima ujione umekuwa mkiwa na kutokubari kuwa umekataliwa.

Huyu Tulia kwa sasa msipo mfunga kamba na kuwa na elimu ambazo sijui elimu zake ila cheo cha uspika kitamfanya kama Ndungai .

Kwa sasa kwenye mitandao ya kijamii unaona kabisa wa kumfunga kamba.
Siku zake zinahesabika! Subiri fukuto lizidi.. Anatamani kutqpika ila kichefuchefu kinamzuia😂
 
Maisha ya kuja na kuondoka yana tesa watu usiombe, mfano mwaka jana umepata cheo, gari, pesa, kiburi na majigambo alafu mwaka huu umekuwa wa kawaida.

Hapo lazima ujione umekuwa mkiwa na kutokubari kuwa umekataliwa.

Huyu Tulia kwa sasa msipo mfunga kamba na kuwa na elimu ambazo sijui elimu zake ila cheo cha uspika kitamfanya kama Ndungai .

Kwa sasa kwenye mitandao ya kijamii unaona kabisa wa kumfunga kamba.
Kwani Tulia alifanya kosa gani? Isije ikawa nae alifanya kama Ummy Mwalimu ? Ummy yeye chawa wa Samia walimtape akiteta kuwa Samia ni mnywaji mzuri wa whisky na hiyo tape akapelekewa mwanamke katili. Muda ulipofika akamchinjia baharını!
Isije ikawa Tulia nae alifanya makasa hayo hayo ya kumteta Samia bila kujua huku chawa wake wakimrekodi!!!
 
Tingatinga likishatengeza barabara huwa halina mvuto tena kupita kwenye hiyo barabara.
 
Binafsi sijaelewa ujumbe aliokuwa anaumaanisha kwenye ile clip aliyoweka, ya binti anahangaika kuzoa jani na hatimaye kuamua kulifukia baada ya kushindikana kulizoa.
Kufunika tatizo ni ujinga. Maana kwa kifupi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom