Kama Samia CCM.Fomu Moja kana Mwenyekiti wa Chadema 🐼😂
Mbona swali la kipumbavu hili? Kwani Katiba ya CCM inasemaje?Kwani atashindana na nani?
Vijana hawajui Kibajaji ndiye aliyemstaafisha siasa John Samuel Malecela, waziri mkuu mstaafu na makamu wa Kwanza wa Rais.Mbona swali la kipumbavu hili? Kwani Katiba ya CCM inasemaje?
Huu ushenzi siyo wa kuuvumilia. Huyu Betina hajawahi kushinda uchaguzi wowote Tanzania. Aliteuliwa JK kugombea u-Naibu Spika ambao basically ukiteuliwa CCM unakuwa Spika tu kwa vile hata 2015 wabunge wa CCM walikuwa majority
Alianza Patrick Mwalunenge, Mwenyekiti wa CCM Mbeya kusema kuwa mwaka 2025 kutakuwa na Fomu Moja tu ya kugombea ubunge jimbo la Mbeya Mjini.
Leo kuna clip ya dak 3 inatembea ikimuonyesha mtu mmoja akihutubia mkutano wa CCM Mbeya huku Spika wa Bunge Tulia Ackson ambaye ndiye Mbunge wa sasa wa Mbeya Mjini. Mtu huyo ameongea yaleyale yaliyotamkwa na Mwenyekiti wa CCM Mbeya.
Ni wazi hizi ni siasa chafu ambazo ziko kinyume na Katiba ya JMT na hazina tija kwa wananchi wa Mbeya.
Kama ni kweli Tulia Ackson ameifanyia Mbeya mambo makubwa kwa nini anaogopa ushindani?
Inasemekana hata ccm Taifa wamemchokaHuu ushenzi siyo wa kuuvumilia. Huyu Betina hajawahi kushinda uchaguzi wowote Tanzania. Aliteuliwa JK kugombea u-Naibu Spika ambao basically ukiteuliwa CCM unakuwa Spika tu kwa vile hata 2015 wabunge wa CCM walikuwa majority
Uchaguzi wa 2020 aliwekwa na Magufuli kama walivyowekwa akina Prof Kabudi Kilosa au Josephat Gwajima Kawe
Huyu Mbunge wa Mbeya hajaleta maendeleo yeyote zaidi ya kuemdesha biashara yake ya Bajaj jijini Mbeya kupitia Tulia Trust.
Mbeya pamoja na barabara finyu na udogo wa Jiji linaladiriwa kuwa na Bajaj 8,000.
Wajinga wenye kufikiri mwisho wa pua wanadhani hayo ndiyo maendeleo.
Utaweweseka sana mwaka huu baada ya kuona wanambeya kwa ujumla wao wakiendelea kumshukuru Dkt Tulia kwa uchapa kazi wake.na namna alivyowasadia wanambeya kupata maendeleo katika kila eneo. ngoja mkeka wa lami njia nne kutoka igawa mkoani Mbeya mpaka Tunduma mkoani Songwe wenye urefu wa 237.9 utandikwe ndio akili yako na yule muhuni na tapeli wa kisiasa Sugu akili itawakaa sawa.Tulia Kaua ccm Mbeya Mjini , hawamtaki kabisa .
Sugu ndio amechokwa kama dekio. Dkt Tulia Anaendelea kuchanja mbuga katika mioyo ya wana mbeya na kubembelezwa na wanambeya ili wamchangie pesa ya kuchukulia Fomu ya ubunge.Inasemekana hata ccm Taifa wamemchoka
Chadema ni waoga kama kunguru,wakisikia tulia anagombea mbeya mjini nyoyo zao zinapata ganziMambo ya CCM waachie maccm NI wafu hao wazikane.
Hukumu inatolewa na wananchi kwenye general election.
CCM Taifa na wanaccn wote tumeamua kuwa Fomu ya Urais ni moja tu kwaajili ya Rais Samia , kutokana na uchapa kazi wake uliotukuka pamoja na kukidhi matarajio ya watanzania. Lakini kwa upande wa Mbeya ni kuwa Mbeya nzima CCM na wasio Wana CCM wameamua na kuomba kwa kupiga magoti kuwa Fomu ya ubunge iwe moja tu kwa ajili ya Dada wa Taifa na Rais wa IPU dkt Tulia Acksoni Mwansasu,kutokana na kutatua kero mbalimbali za wanambeya na kuwaleta madeni ndani ya muda mfupi.sasa Mbeya inafanana na kuwa. Na taswira ya jiji tofauti na wakati ule jiji linaongozwa na yule muhuni sugu.Actually fomu moja kwa ngazi yeyote ile hata ya urais ni kinyume cha sheria kwakua inawanyima haki ya kikatiba wanachama wengine.
Lakini ndio vile tena nchi yetu imejaa kondoo.
Kama una hasira wewe kufa tu maana huna faida.mbeya na wanambeya wanafahamu kazi kubwa iliyofanywa na jembe letu na dada yetu Dkt Tulia Acksoni Mwansasu.ametoa bure kabisa bima za afya elfu sita mwaka huu wakati mwaka jana alitoa elfu tatu.Huu ushenzi siyo wa kuuvumilia. Huyu Betina hajawahi kushinda uchaguzi wowote Tanzania. Aliteuliwa JK kugombea u-Naibu Spika ambao basically ukiteuliwa CCM unakuwa Spika tu kwa vile hata 2015 wabunge wa CCM walikuwa majority
Uchaguzi wa 2020 aliwekwa na Magufuli kama walivyowekwa akina Prof Kabudi Kilosa au Josephat Gwajima Kawe
Huyu Mbunge wa Mbeya hajaleta maendeleo yeyote zaidi ya kuemdesha biashara yake ya Bajaj jijini Mbeya kupitia Tulia Trust.
Mbeya pamoja na barabara finyu na udogo wa Jiji linaladiriwa kuwa na Bajaj 8,000.
Wajinga wenye kufikiri mwisho wa pua wanadhani hayo ndiyo maendeleo.
Mlokole gani anafanya siasa za Ushirikina ? Ni Aibu mno , subirini tufumue mambo hadharani , mtajuta wanafiki nyie !!Sugu ndio amechokwa kama dekio. Dkt Tulia Anaendelea kuchanja mbuga katika mioyo ya wana mbeya na kubembelezwa na wanambeya ili wamchangie pesa ya kuchukulia Fomu ya ubunge.
Kila mwana Mbeya ameona namna alivyogusa maisha ya watu.amejengea watu nyumba.ametio maelfu ya bima za afya bure kabisa kwa wanambeya,mfano mwaka huu akiwa bima za afya bure kabisa elfu sita wakati mwaka jana alitoa elfu tatu.
Amejenga kwa pesa zake mwenyewe mabweni ya wanafunzi kama alivyofanya pale katika sekondari ya Samora.
Amegawa vitabu kwa shule zote za jiji la mbeya.
Wakati wa ubunge wa sugu yeye alikuwa anafanya Vitendo vya kihuni huni tu bungeni kama vile kuonyesha vidole vinavyoashiria matusi akiwa bungeni. Sugu alikuwa ni vuta bangi sana.hakuna mwana Mbeya wakumpa tena ubunge muhuni kama sugu.
Hakuna mtu mwenye uwezo wala ubavu wala nguvu ya kuweza kumtoa Dkt Tulia pale Mbeya mjini. Dkt Tulia ndiye mwenye hati miliki na jimbo la Mbeya mjini aliyopewa na wanambeya wenyewe. Baada ya kuchoshwa kuongozwa na yule muhuni wa CHADEMA sugu aliyepeleka ujinga wake bungeni na ambaye alikuwa hajitambui wala kutambua majukumu yake kama mbunge.Vijana hawajui Kibajaji ndiye aliyemstaafisha siasa John Samuel Malecela, waziri mkuu mstaafu na makamu wa Kwanza wa Rais.
Hata Mwakyembe yamemkuta hayo Kyela, sasa ni zamu ya Tulia Ackson kupigwa chini kwenye Kura za ccm.
Wewe ndiye mshirikina mkubwa mwenye roho ya kichawi na kishetani. Dkt Tulia ndio moyo wa wanambeya ndio mboni yao.ndio tumaini lao.ndio hitaji lao Katika kuwaongoza na kuwaleta maendeleo ya haraka.Mlokole gani anafanya siasa za Ushirikina ? Ni Aibu mno , subirini tufumue mambo hadharani , mtajuta wanafiki nyie !!