Synthesizer
JF-Expert Member
- Feb 15, 2010
- 11,143
- 18,774
Watanzania tungekuwa na msimamo kama huu na kwenye uongozi wa nchi tungeendelea kwa kasi ya ajabu!Waumini wa kanisa la KKKT Usharika wa Tukuyu Mjini ulioko Dayosisi ya Konde wamemfukuza kanisani hapo Baba Askofu wa Dayosisi hiyo Dkt. Edward Mwaikali.
Waumini hao wamedai kuwa Askofu huyo hawasikilizi na amekuwa akiwafukuza kazi wachungaji wasiomuunga mkono katika maamuzi yake.
Pia soma: Mbeya: Wachungaji 25 wa KKKT Wafutiwa ajira ya Uchungaji Dayosisi ya Konde