Tukuyu: Waumini KKKT wamfukuza Baba Askofu Dkt. Edward Mwaikali

Sio kweli! Mimi ni mkatoliki, tunatumia yote. Waprotestant labda ndio hawana Kristu sababu imetokana na kilatini.
Umepinga nini na umejibu nini? Kristo kwa wakatoliki ni kuiga waprotestanti. Vitabu vya kabla ya 1990 hakukuwa na kristo bali kristu. In fact kuna mkristo na mkristu
 
FOOLISHNESS....fukuza kabisa hayo majizi na bado/ wameilaghai sana Afrika na makanisa yao yakipuuzi, Mungu wakwel hana dini na wala haitaji dini wala genge la mikusanyiko jumapl na jmos hiz tamaduni za hovyo mkizorith toka kwa wakoloni, ndzo znasababisha majanga na umasikin hauisha afrika, fukuzen dini pamoja na makanisa yote, amkeni nyie black people hu si muda wakusujudu viumbe vya wazungu vijiitavyo Mungu sjui yesu, jehova, elshadai,Allah, haya yote ni mapepo ambayo hayatowaokoa, zaid ya kuwapotosha ukwel... kuna majinga yanaenda mbali mpka yanaita eti kanisa la mitume...very bad, hao waliowaulia babu zenu na kuwatesa, wanawezaje kuwaonesha wokovu wa kweli? kwa upendo gani?....all religions are fake
FB_IMG_16297509551309175.jpg
 
Umepinga nini na umejibu nini? Kristo kwa wakatoliki ni kuiga waprotestanti. Vitabu vya kabla ya 1990 hakukuwa na kristo bali kristu. In fact kuna mkristo na mkristu
Sawa mkuu, ngoja nitafanya uchunguzi nami nifahamu zaidi.
 
Swali fikirishi,Je ni kwanini Maaskofu,Watawa na makasisi wa Kanisa Katoliki wanaheshimika sana na kuaminika kwa jamii pamoja na waumini wao kuliko madhehebu mengine?

JIBU; Mbali na sababu nyingine kama vile viwango vya elimu,Nimegundua kwamba kitendo cha Watawa wakatoliki kula nadhiri za useja na kujitoa kufunga ndoa na kanisa zimewafanya waumini wao kuwaheshimu sana.Jaribu kufikiria kiongozi ni Askofu alafu ana mke na watoto,Je kwa akili za haraka haraka mtu huyu kweli ataweza kulitumikia kanisa na kulisha kondoo za Bwana? Ni vigumu kutumikia mabwana wawili! Patia picha huyo askofu ametoka nyumbani amekorofishana na mke wake na mtoto wake wa kiume anatumia madawa ya kulevya na binti yake amefumaniwa gesti na mume wa mtu! Huyu kweli atakuwa sawa?! Sikatai huenda wapo mapadre wanaenda kinyume na nadhiri zao lakini angalau anafanya hivyo akijua anakosea na haiwi kwa uhuru na wingi kiasi cha kuathiri kanisa kiujumla!

Hata wewe ukiona mtu amejitoa maisha yake kutokuoa/kutokuolewa kwa ajili ya Kristu lazima utampatia heshima kuliko yule aliyeoa/kuolewa huku anahudumia kanisa!
Sijui umeandika nn na ww. kwahiyo Mungu ni mjinga kuumba mume na mke na kusema nendeni mkaijaze nchi???

Sent from my itel A16 Plus using JamiiForums mobile app
 
Imani yangu juu ya haya makanisa kuhusu, mienendo na misimamo ya viongozi nakata Tamaa.

Tofauti na nilivyoaminishwa nikiwa mdogo
Ndio maana walikuwahi tangu ukiwa mdogo.Wanajijua.Usidhani ni wajinga.Watu wanapiga Kaunta Ataki.Kwa kipa kwa namba tisa goli.
 
Waumini wengi wako Rungwe/Tukuyu. Hana sababu za msingi kuhamisha makao makuu ya Dayosisi kwenda Mbeya eti awe karibu na Makao makuu ya mkoa. Kibaya zaidi kajiamulia yeye binafsi bila kuwashirikisha Wachungaji na Washarika.
Kwani KKKT ni sehemu ya serikali!
 
Inawezekana waumini wengi wapo Rungwe kama unavyosema lakini Tukuyu ipo pembeni sana kiasi kwamba mtu wa kutoka Tunduma au Rujewa Mbarali akitaka huduma ina mgharimu pakubwa tofauti na Mbeya ambapo anweza akaenda na kurudi the same day na cost zikapungua.

Tatizo sisi wanyakyusa ubinafsi unatusumbua sana. Kwani kuna tatizo gani Dayosisi kuhamishwa sehemu nyingine? Mbona Magufuli alihamisha ofisi za serikali Dar kwenda Dodoma?
Sema Wanyakyusa wa Rungwe ndio wana ubinafsi mno,hao hao wa Rungwe ndio chanzo cha mgogoro wa kanisa la Moravian Kyela hadi wan Kyela wengi wamejitenga, hata kwenye kugawa mali za wilaya za Kyela na Ileje ni hao hao Wanyakyusa wa Rungwe wakati mali zote wachukuwe wao pale serikali ilipoamua kuzitoa wilaya za Ileje na Kyela kutoka wilaya moja ya Rungwe, hao Wanyakyusa wa Rungwe pamoja na Busokelo wanataka kila kitu kiwe kwao, hata maaskofu wanataka watoke wilaya yao tu ya Rungwe.
 
Sema Wanyakyusa wa Rungwe ndio wana ubinafsi mno,hao hao wa Rungwe ndio chanzo cha mgogoro wa kanisa la Moravian Kyela hadi wan Kyela wengi wamejitenga, hata kwenye kugawa mali za wilaya za Kyela na Ileje ni hao hao Wanyakyusa wa Rungwe wakati mali zote wachukuwe wao pale serikali ilipoamua kuzitoa wilaya za Ileje na Kyela kutoka wilaya moja ya Rungwe, hao Wanyakyusa wa Rungwe pamoja na Busokelo wanataka kila kitu kiwe kwao, hata maaskofu wanataka watoke wilaya yao tu ya Rungwe.
Wewe mjinga sana.
Hujui hata wakoloni waliwapendelea Rungwe?
Sijui mnasoma kajamba nani?
 
Back
Top Bottom