Tukumbushane "table manners" mbovu

Tukumbushane "table manners" mbovu

_mnakula pamoja mfano ugali, mtu aacha kula upande wake anakuja kumega upande wako

_mnakula pamoja , ghafla mtu anastop anaenda msalani akirudi anaendeleza kupiga menu na mnashea

_mnakula mfano nyama, mtu anachagua chagua ,badae anaona kipande kinachomfaa ndio anakichukua

_mnakula pamoja, mtu anapiga chafya hazibi mdomo, particles zinawarukia

_mnakula wali maharage may be na mchuzi wa nyama, vimechanganywa kwenye sinia, mtu anafinyanga Kama tonge adi michuzi inachuruzika kwenye kiganja , inatia kinyaa

Ongezea nyingezo
 
Wakati mnakula mmoja wenu anachokonoa pua

Ova
 
Kulikuwa na uhaba wa sahani? Kwa nini kila mtu asile na sahani yake?
 
Unakula ugali wa mchuz Na mtu mwenye kucha nyeusii....
Daah hii nimempiga mabiti dogowangu sana sie kilamtu anakula kivyake kujipakulia siku nyengine uvivu unaunga dogo kucha kubwa nyeusi
 
Si nyie wabongo mmefunzwa upuzi huu na hao waarabu,Kenya ni uzungu kwenda mbele.
Kila mtu sahani lake pamoja na uma na kijiko.
Wakenya mnapenda sana kujipaisha..ni wakati ni wachafu .. na wachoyo ...mliopindukia...
 
Unakuwa wa kwanza kupakua unachota mboga yote mwenyewe bila kujali kuna wengine
 
Nimekumbuka kabisa babu yangu, RIP wajina wangu😀😀
Chakula kikija yeye ananza bakuli la mchuzi, anakunywa kwanza hadikifike kiwango akitakacho then ndio mnaanza kula.
Wazee wazamani miyeyusho kweli...
Alikuwa anawajali alilazimika kuonja kama una sumu kuvu.
 
Ila ingekua dagaa wala msingemwona
Ndio mnaanza kula ugali na kuku-jogoo mchuzi, ghafla jirani anaingia na kukaribishwa kwa heshima na taadhima. Anajibu: " Aaaa, nimeshiba, nimetoka kula muda si mrefu uliopita, lakini ngoja nitie baraka kidogo" anamega tonge mbili halafu anageukia bakuli la finyago na kuchukua bonge la paja!! Halafu: Aaa! asanteni nimeshiba" Ananawa mkono na kuodoka akimung'unya paja la jogoo!
 
Mlikua matajiri kwenu bila shaka
Wala sio utajiri. Ni tabia mbaya tu ya waswahili. Kuna mabakuli, masinia, masufuria. Pakueni humo mle sio kushare.
.
.
Babu yangu hakuwa maskini alikuwa anajiweza vizuri sahani zipo za kutosha lkn ukienda kwake wote mnakula kwenye sinia moja.
 
Back
Top Bottom