Tukumbushane "table manners" mbovu

Tukumbushane "table manners" mbovu

Wakati mnakula kuna mtu anatafna vbaya mpaka unakosa hamu ya kula
Mmekaa nyumbani mnakula chakula cha pamoja mwingine anakula haraka haraka kama yupo kwenye mashindano siwez inakera
Wakati wa kula jamaa mwanzo mwisho anachangia hoja na chakula mdomoni si umalize kula kwanza?
Huku anakula kule yuko bze na simu
 
_mnakula pamoja mfano ugali, mtu aacha kula upande wake anakuja kumega upande wako

_mnakula pamoja , ghafla mtu anastop anaenda msalani akirudi anaendeleza kupiga menu na mnashea

_mnakula mfano nyama, mtu anachagua chagua ,badae anaona kipande kinachomfaa ndio anakichukua

_mnakula pamoja, mtu anapiga chafya hazibi mdomo, particles zinawarukia

_mnakula wali maharage may be na mchuzi wa nyama, vimechanganywa kwenye sinia, mtu anafinyanga Kama tonge adi michuzi inachuruzika kwenye kiganja , inatia kinyaa

Ongezea nyingezo
Tangu lini mpwa umekuwa mzungu????
 
Unakunywa chai/uji alaf unaivuta kwa mdomo hadi unaskia frrrrrrriiii ... Siyo ustaarabu acha ushamba
Hyo mbaya sana nkikutana na mtu wa hvo naondoka zangu,juzi nimekaa na mfanyakazi mwenzangu(me)mda wa chai nasikia fyuuuu,we niliondoka maana kdogo nitapike
 
-kulamba mkono/vidole nachefukwa kupita maelezo.
-na hizo tabia zote ulizoweka mleta mada sizipendi mno
Namshukuru mama angu ametulea katika ulaji wa kistaarabu mno
 
Unakwenda ugenini mnakula mtoto wa mwenye nyumba anakukodolea macho mwanzo mwisho
Inaletwa mihogo ya kuchemsha, mtu anang'ata anauweka is pembeni akisingizia ni mchelema lkn mkimaliza ya kwenye sinia yeye anarudia Ile aliyong'ata kwa kusingizia kuwa ni michelema
 
Unakwenda ugenini mnakula mtoto wa mwenye nyumba anakukodolea macho mwanzo mwisho
Inaletwa mihogo ya kuchemsha, mtu anang'ata anauweka is pembeni akisingizia ni mchelema lkn mkimaliza ya kwenye sinia yeye anarudia Ile aliyong'ata kwa kusingizia kuwa ni michelema
 
_mnakula pamoja mfano ugali, mtu aacha kula upande wake anakuja kumega upande wako

_mnakula pamoja , ghafla mtu anastop anaenda msalani akirudi anaendeleza kupiga menu na mnashea

_mnakula mfano nyama, mtu anachagua chagua ,badae anaona kipande kinachomfaa ndio anakichukua

_mnakula pamoja, mtu anapiga chafya hazibi mdomo, particles zinawarukia

_mnakula wali maharage may be na mchuzi wa nyama, vimechanganywa kwenye sinia, mtu anafinyanga Kama tonge adi michuzi inachuruzika kwenye kiganja , inatia kinyaa

Ongezea nyingezo
Kama kuna watu ambao ukila nao utakoma ni wachina aisee, wanakula vibaya vibaya sana yani kwetu sisi zile zote ni bad table manners
 
_mnakula pamoja mfano ugali, mtu aacha kula upande wake anakuja kumega upande wako

_mnakula pamoja , ghafla mtu anastop anaenda msalani akirudi anaendeleza kupiga menu na mnashea

_mnakula mfano nyama, mtu anachagua chagua ,badae anaona kipande kinachomfaa ndio anakichukua

_mnakula pamoja, mtu anapiga chafya hazibi mdomo, particles zinawarukia

_mnakula wali maharage may be na mchuzi wa nyama, vimechanganywa kwenye sinia, mtu anafinyanga Kama tonge adi michuzi inachuruzika kwenye kiganja , inatia kinyaa

Ongezea nyingezo
mpo mezani unakuta member 1 hali kwa mwendo na kanuna kwelikweli
 
Back
Top Bottom