kissa anyigulile
JF-Expert Member
- Apr 21, 2017
- 1,550
- 1,744
Wazaramo.Ipo Sana, hususan uswahilini , coastal zone n.k
Wazaramo.Ipo Sana, hususan uswahilini , coastal zone n.k
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hii story niyakweli,miaka ya 90's kweusi,Digi alikua na wake wawili so tukawa natabia ya kila mama akipika chakula kinaletwa na tuna Kuna watoto wote kwa pamoja.huku kapika wali marage huyu kapika makande.sinia zinakuja mpaka tushibe.sasa Kuna dogo letu mmoja alikua Hana kipimo mzee tumekula sinia la kwanza,mtu Kama nane,sinia la pili dah kufika la tatu dogo kumbe alishiba kwanini asitapikeee dah alfu wali arageeee....ikawa mwisho
[emoji23][emoji23]Kufua mashuka wakati wa kula.
kuku nusu tu? aah kuna watu ma slei kwini jamani,mimi tu naondoka kuku mzima,yani vikuku hivi vya KFCMnakula mtu anamaliza kuku nusu na chips daaah kuna watu wanakula jamani
si ndio hapoo,yani vifaranga vya kfc nile kipaja tu! minyooo yangu kwanza itanishangaaa[emoji23] Kwamba vifaranga wa kfc h
[emoji2961][emoji2961]Mnakula kwa mikono wali na maziwa mgando vimechanganywa kwenye sinia. Taratibu unaonaa rangi ya maziwa inaanza kubadilika.
[emoji23][emoji23]si ndio hapoo,yani vifaranga vya kfc nile kipaja tu! minyooo yangu kwanza itanishangaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]noma SanaKuna siku ile ndio tunaweka ugali kwenye sahani mara mgeni anaingia halafu mroho kichizi,ikabidi tule nae ugali ukiwa vilevile wamoto full kuungua ila yeye kama ana feni anakata tonge huku story.
Basi aliniboa kichiz maana huwa sipendi kula chakula chamoto hata huwezi kutafuna vizuri ila ikabidi tu tule kwa sababu yake.
Uchafu kinoma ynmtu anakukuta unakula alafu anaanza kula bila kunawa
Ndiyo zangu hizo.Manakula washikaji mpo bar halafu jamaa anakata tonge kubwa analikata katikati na meno,khaa !
Kuna mwamba huyo akiona mboga imepungua anabeba bakuri anashikilia mkononi [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Mnakula pamoja alafu mtu anakomba mboga na anaona kabisa ugali mkubwa hatuonani upande wa pili[emoji15][emoji15]
[emoji23][emoji23][emoji23]Ndiyo zangu hizo.
[emoji1787][emoji1787]Mtu badala ya kutoza ugali kwenye mboga yeye anakula kwanza ugali kisha mboga anachukua na vidole.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna mwamba huyo akiona mboga imepungua anabeba bakuri anashikilia mkononi [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Maisha kuishi kwingi kuona mengi
Si nyie wabongo mmefunzwa upuzi huu na hao waarabu[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38],Kenya ni uzungu kwenda mbele.Swala la kula watu kibao kwenye sahani moja nalo ni tatizo