Tukumbushane "table manners" mbovu

Tukumbushane "table manners" mbovu

kitalembwa

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2014
Posts
7,750
Reaction score
20,594
_mnakula pamoja mfano ugali, mtu aacha kula upande wake anakuja kumega upande wako [emoji3185]

_mnakula pamoja , ghafla mtu anastop anaenda msalani akirudi anaendeleza kupiga menu na mnashea [emoji34]

_mnakula mfano nyama, mtu anachagua chagua ,badae anaona kipande kinachomfaa ndio anakichukua [emoji2957]

_mnakula pamoja, mtu anapiga chafya hazibi mdomo, particles zinawarukia [emoji855]

_mnakula wali maharage may be na mchuzi wa nyama, vimechanganywa kwenye sinia, mtu anafinyanga Kama tonge adi michuzi inachuruzika kwenye kiganja , inatia kinyaa [emoji34]

Ongezea nyingezo [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
 
Nimekumbuka kabisa babu yangu, RIP wajina wangu[emoji3][emoji3]
Chakula kikija yeye ananza bakuli la mchuzi, anakunywa kwanza hadikifike kiwango akitakacho then ndio mnaanza kula.
Wazee wazamani miyeyusho kweli...
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] babu alikuwa noma huyu.
 
Back
Top Bottom