Tukumbushane "table manners" mbovu

Tukumbushane "table manners" mbovu

Si nyie wabongo mmefunzwa upuzi huu na hao waarabu,Kenya ni uzungu kwenda mbele.
Kila mtu sahani lake pamoja na uma na kijiko.
Kule mombasani je ??? Uswahili mtupu umejaa !
 
Uzi wa watoto wa kishuwa
Wengine sisi wakati wa kula ni gombania goli

Ova
 
Si nyie wabongo mmefunzwa upuzi huu na hao waarabu,Kenya ni uzungu kwenda mbele.
Kila mtu sahani lake pamoja na uma na kijiko.
Mi nadhani labda shida ilikuwa ni umaskini uliokithiri, yani wananunua chakula kidogo, sasa kwavile hakitoshi kila mtu kula mwenyewe ndio inabidi wachanganye wale pamoja
 
Speaking while your mouth is full of food.
Watu kutoka Western hawapendi kinoma yaani
 
Aiseeee mtu kama ana stress akipitia uzi huu, anapata nafuu, Kwa maana comment zinafurahisha sana
 
Unakula ugali wa mchuz Na mtu mwenye kucha nyeusii....
 
Njooni huku pwani muone mpaka leo bado watu wananawa sehemu moja ,yaani anaanza baba anatia mikono kwenye beseni wanafuata watoto na kula kwenye sinia moja,tena wanaona kawaida sana!
Hii ndio mwisho wa matatizo....😬😬😬😬
 
Back
Top Bottom