Hicho cha kabwe makanika kinaitwa unyama wa mafia viko part 1 mpaka 3Faraji katalambula katunga simu ya kifo.
Unavikumbuka hivi hapa chini?
Tutarudi na roho zetu.
Kabwe makanika,
Twenzetu ulaya,
Hofu.
Hicho cha kabwe makanika kinaitwa unyama wa mafia viko part 1 mpaka 3Faraji katalambula katunga simu ya kifo.
Unavikumbuka hivi hapa chini?
Tutarudi na roho zetu.
Kabwe makanika,
Twenzetu ulaya,
Hofu.
Hamie RajabuNani anakumbuka sanda ya jambazi simkumbuki mwandishi
sasa hii riwaya inaendela au?japo kwa nimeshaona movie nyingi za aina hii lakini si mbaya na kusoma pia
Naomba kitabu Cha Natala by kithaka wa mberia nitakipataje msaada plzLast wk nilipita MTAA wa SAMORA nimekuta baadhi ya hivyo VITABU km HAINI, kinauzwa elf 12, VUTA NIKUVUTE,na BARUA NDEFU KM HII wanauza Elf 7500 Bado natafuta hivyo vyaakina MUSIBA
Naomb nisaidie kitabu Cha Natala by kithaka wa mberiaLast wk nilipita MTAA wa SAMORA nimekuta baadhi ya hivyo VITABU km HAINI, kinauzwa elf 12, VUTA NIKUVUTE,na BARUA NDEFU KM HII wanauza Elf 7500 Bado natafuta hivyo vyaakina MUSIBA