Tukumbushane riwaya za kusisimua

sasa hii riwaya inaendela au?japo kwa nimeshaona movie nyingi za aina hii lakini si mbaya na kusoma pia

Nyota ya rehema hikokitabu nilikisoma nikiwa na miaka sita nakitafuta Sana sana nikirudie ili nipate maana ni kizur mno
 
Last wk nilipita MTAA wa SAMORA nimekuta baadhi ya hivyo VITABU km HAINI, kinauzwa elf 12, VUTA NIKUVUTE,na BARUA NDEFU KM HII wanauza Elf 7500 Bado natafuta hivyo vyaakina MUSIBA
Naomba kitabu Cha Natala by kithaka wa mberia nitakipataje msaada plz
 
Last wk nilipita MTAA wa SAMORA nimekuta baadhi ya hivyo VITABU km HAINI, kinauzwa elf 12, VUTA NIKUVUTE,na BARUA NDEFU KM HII wanauza Elf 7500 Bado natafuta hivyo vyaakina MUSIBA
Naomb nisaidie kitabu Cha Natala by kithaka wa mberia
 
Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom