Balantanda
JF-Expert Member
- Jul 13, 2008
- 12,476
- 4,755
Muuza Chipsi wa Kinguti System na Bicco Stars wana Kindumbwendumbwe
Yeah si wimbo wa siku nyingi sana..Ulitoka mwaka 1999..Uliimbwa na mdada aitwa Mlasi Feruzi akiwa na Jambo Survivors iliyokuwa chini yake Kinguti System...Sijui imefia wapi hii bendi
unanipa raha sana BLNTND,
Ile ilikua bend ya kwenda kuvutia hela DUBAI,deal ilikuja haribika baada ya msururu wa mabendi kuanza kwenda tumbuiza
Duh! Bicco Stars imenikumbusha mbali! Huyu Kinguti Star ana mahusiano na Nyota Kinguti?
-Kassim-Mlimani Park
-Ford-OSS
-Baba Jane-The Bantu Group
-Tupatupa-Msondo
-Fikiri-Mlimani Park
-Maprosoo-Jambo Survivors
-Amigo-Les Wanyika
-Ngapulila-Vijana Jazz
-Karubandika-Marquiz
-Mayanga-Marquiz
-Makumbele-Marquiz
-Nelson Mandela-Washrika Tanzania Stars
-Kassim-Mlimani Park
-Ford-OSS
-Baba Jane-The Bantu Group
-Tupatupa-Msondo
-Fikiri-Mlimani Park
-Maprosoo-Jambo Survivors
-Amigo-Les Wanyika
-Ngapulila-Vijana Jazz
-Karubandika-Marquiz
-Mayanga-Marquiz
-Makumbele-Marquiz
-Nelson Mandela-Washrika Tanzania Stars
Yeah si wimbo wa siku nyingi sana..Ulitoka mwaka 1999..Uliimbwa na mdada aitwa Mlasi Feruzi akiwa na Jambo Survivors iliyokuwa chini yake Kinguti System...Sijui imefia wapi hii bendi
Duh! Bicco Stars imenikumbusha mbali! Huyu Kinguti Star ana mahusiano na Nyota Kinguti?
Baba Anna toka kwa Dar international...
Watoto wako wanakukumbuka
Kila siku hawaishi kukuuliza
Na mama nae ananung'unika
Kwani miaka mingi imepita
baba amekuwa mtu mzima
Hawezi kuhangaika huku na kule
Kwa hiyo bwana ufanye haraka
Matatizo yametuzidi oooh
Fanya uje
Leo nasema
Fanya uje
Bwana naomba
Fanya uje
Niko peke yangu
fanya uje
Kila kitu ni pesa
Fanya ujee
Chakula ni pesa
Fanya ujee
Malazi ni pesa
Fanya uje
Eeeh bwana
Fanya uje
Quote:https://www.jamiiforums.com/sports-...majina-ya-kiume-ii-post754917.html#post754917
1-Kassim-Mlimani Park
2-Ford-OSS
3-Baba Jane-The Bantu Group
4-Tu4patupa-Msondo
5-Fiki5ri-Mlimani Park
6-Mapr6osoo-Jambo Survivors
7-Amigo7-Les Wanyika
8-Ngapuli8la-Vijana Jazz
9-Karuban9dika-Marquiz
10-Mayanga-Marquiz
11-Makumbele-Marquiz
12-Nelson Mandela-Washrika Tanzania Stars
Mkuu Balantanda, naongeza uliposahau:-
13. Kipipa Ayubu- OSS
14. Hapendeki- DDC
15. Kalimanzila- Juwata
16. Amba (Maisha ya Amba)- Vijana Jazz
17. Kasuku-Les Wanyika
18. Kaka Mashaka- Dar International
19. Nelson Mandela- DDC Mlimani Park (Composer Joseph Mulenga)
20. Pakanyanga- OSS Duku Duku
21. Mzee Saidi- Dar International
22.Baba Shani- Bima Lee (composer Jerry Nashon Dudumizi)
Ntakuwa naongeza kadiri nnavyokumbuka
Alimasi - Skassy kasambula, Dr Remmy wakiwa )rchestre Matimila