Tukubali tukatae, CCM ni bonge la Chama

Tukubali tukatae, CCM ni bonge la Chama

Kuna kitu wachangiaji wanashindwa kukikubali: Ni hivi CCM ndiyo iliyo vijenga vyombo vya dola vyote katika kuwa na nidhamu vilivyo nayo. Hivyo kuviachanisha na CCM haiwezekani. Nchi ambazo hazikuwa navyombo hivyo vuenye nidhamu au chama kizuri cha kuviongoza tuliona mwisho wa serikali zao! Kutokana na hilo Tanzania hatuna chama mbadala kutoka upinzani cha kuongoza vyombo vya dola letu.
yaani maanayake ni kwambaa.. huwezi wewe fisiem ukafanya unayofanya bila kutumia MIGAMBO YENYU
 
Kiongozi wa chama gani alipanda jukwaan baada ya kukosolewa?.

Nakumbuka miaka ile ya RIP Julius Nyerere aliwahi kukiita NCCR kuwa chama cha kihuni, haukupita muda kwenye mkutano mmoja watu wakarushiana viti.
 
Kiongozi fulani kupanda mezani kwa kusemwa na mbunge wa Ukonga haha
 
Kila nikihangaza Tanzania, Rwanda, Kenya, Uganda ,Burundi, Msumbiji hata nchi nyingine za karibu sioni chama kama CCM
Watu ukosea na kuilinganisha CCM vyama vya uchochoroni
Kama Chadema, Au TLP, mnakosea sana maana CCM yapaswa kulinganishwa na vyama tawala vingine siyo vyama tawalwa,

Kwanini CCM ni Chama imara na chama chenye kuleta matumani kwa watanzania na wasio watanzania

1. Mfumo wa uendeshaji wa chama unaeleweka,

2. Muda wa uongozi wa mwenyekiti uko wazi kabisa

3. Ni chama pekee ambacho ubadirika kulingana na hali na mazingira, rejea kumpata Magufuli, na komtema Lowassa

4. Chama pekee ambacho kimesheheni watu wenye uwezo wa kuwa marais wa nchi hii zaid ya 50,

5. Kimesheheni wazee wenye busara na mipango sawa sawia

6. CCM inajipambanua katika kuufuta umasikini ulioachwa na mkoloni

7. CCM inaheshim, matumizi ya pesa zozote zile, hakuna mtu mmoja wa kutembea nazo mkononi

8. Huwezi kuikopesha CCM kutoka hela zako za mfukoni bila utaratibu

9.CCM imeasisiwa na baba wa bara la Afrika mwalimu JK Nyerere,

10. CCM ndo chama pekee kisichowaziba watu mdomo kwa kukosoana ndani kwa ndani, vyama vingine wenyeviti wana machungu mpaka wanapanda mezani wakati wa vikao kisa wamekosolewa,

Hii ndo CCM
CCM ni zaidi ya ANC.
 
Bonge la Chama kwa uzulumati.....

CCM sio zulumati?Bisha na hili
 
Ushapata mgao na wewe endelea kupiga kelele, kwanini usiende ITV au TBC ili uonekane zaidi unapongeza chama chako
 
Wewe mleta hii mada, hizo sifa za CCM unazozimwaga hapa zimetusaidia nini kama Taifa? Tanzania ni moja ya nchi masikini wa kutupa ktk dunia hii! Huo umahiri wa viongozi wa ccm unaousifia hapa umetufanyia nini mazuri sisi watanzania!?
Kila nikihangaza Tanzania, Rwanda, Kenya, Uganda ,Burundi, Msumbiji hata nchi nyingine za karibu sioni chama kama CCM
Watu ukosea na kuilinganisha CCM vyama vya uchochoroni
Kama Chadema, Au TLP, mnakosea sana maana CCM yapaswa kulinganishwa na vyama tawala vingine siyo vyama tawalwa,

Kwanini CCM ni Chama imara na chama chenye kuleta matumani kwa watanzania na wasio watanzania

1. Mfumo wa uendeshaji wa chama unaeleweka,

2. Muda wa uongozi wa mwenyekiti uko wazi kabisa

3. Ni chama pekee ambacho ubadirika kulingana na hali na mazingira, rejea kumpata Magufuli, na komtema Lowassa

4. Chama pekee ambacho kimesheheni watu wenye uwezo wa kuwa marais wa nchi hii zaid ya 50,

5. Kimesheheni wazee wenye busara na mipango sawa sawia

6. CCM inajipambanua katika kuufuta umasikini ulioachwa na mkoloni

7. CCM inaheshim, matumizi ya pesa zozote zile, hakuna mtu mmoja wa kutembea nazo mkononi

8. Huwezi kuikopesha CCM kutoka hela zako za mfukoni bila utaratibu

9.CCM imeasisiwa na baba wa bara la Afrika mwalimu JK Nyerere,

10. CCM ndo chama pekee kisichowaziba watu mdomo kwa kukosoana ndani kwa ndani, vyama vingine wenyeviti wana machungu mpaka wanapanda mezani wakati wa vikao kisa wamekosolewa,

Hii ndo CCM
 
Mkuu unakilinganisha na vyama vya nchi gani?
hamia mara moja uunge mkono juhudi za mh.rais.
mimi namuunga mkono kwa kuchapa kazi
na kuwa mlipa kodi bora hayo mengine nawaachia wenyewe.

Mheshimiwa anaposema ''Kuna mambo ya hovyo''
aliyeyafanya hayo si chama kingine kilichowahi
kuitawala nchi hii,ni chama hiki hiki unachokiita bonge la chama.
Nitamkubalia yule atakayesema Rais Magufuli ni bonge la rais.
 
Unaona yaw CHADEMA?
 
Unaona yaw CHADEMA?
Mimi sitakaa nifurahie kufa kwa upinzani.
vyama vyote vinamapungufu,
ila kila mmoja anakuwa mlinzi wa mwenziwe.
Nisingependa kuiona ccm ikifa,kama chadema
ingeshinda uchaguzi 2015 sababu chadema
nao ni wanadamu,ningependa ccm iendelee
ili ishindane nao,na kwa kufanya hivyo
mimi raia nanufaika. Waliofanya mambo ya ovyo
si chama chochote cha upinzani kilichowahi tawala
walau miezi miwili,ni wale wale waliopo leo ndo walikuwepo.
 
Back
Top Bottom