Ulishawahi kufika duniani???Kwa kifupi CCM Ni chama Kiongozi Duniani Sio Africa pekee
Mimi nilifikiri mafanikio ya chama ni kupima maendeleo ya nchi. Je Tanzania kutokea uhuru hapa tulipo ndiyo best! Kama tungekuwa na chama kizuri tungekuwa mbali zaidi badala ya kuzidiwa uchumi hata na Kenya! Sisi majinga tunasifu tuKila nikihangaza Tanzania, Rwanda, Kenya, Uganda ,Burundi, Msumbiji hata nchi nyingine za karibu sioni chama kama CCM
Watu ukosea na kuilinganisha CCM vyama vya uchochoroni
Kama Chadema, Au TLP, mnakosea sana maana CCM yapaswa kulinganishwa na vyama tawala vingine siyo vyama tawalwa,
Kwanini CCM ni Chama imara na chama chenye kuleta matumani kwa watanzania na wasio watanzania
1. Mfumo wa uendeshaji wa chama unaeleweka,
2. Muda wa uongozi wa mwenyekiti uko wazi kabisa
3. Ni chama pekee ambacho ubadirika kulingana na hali na mazingira, rejea kumpata Magufuli, na komtema Lowassa
4. Chama pekee ambacho kimesheheni watu wenye uwezo wa kuwa marais wa nchi hii zaid ya 50,
5. Kimesheheni wazee wenye busara na mipango sawa sawia
6. CCM inajipambanua katika kuufuta umasikini ulioachwa na mkoloni
7. CCM inaheshim, matumizi ya pesa zozote zile, hakuna mtu mmoja wa kutembea nazo mkononi
8. Huwezi kuikopesha CCM kutoka hela zako za mfukoni bila utaratibu
9.CCM imeasisiwa na baba wa bara la Afrika mwalimu JK Nyerere,
10. CCM ndo chama pekee kisichowaziba watu mdomo kwa kukosoana ndani kwa ndani, vyama vingine wenyeviti wana machungu mpaka wanapanda mezani wakati wa vikao kisa wamekosolewa,
Hii ndo CCM
The use of police force among idiot people waona credit???Kwangu mie CCM kama chama huwa sikipendi lakini kwa uwezo wake kama chama na mikakati yake daima huwa napiga salute zangu zote. Uwezo wao katika kwenda na upepo unaovuma na kuusoma mchezo hawa jamaa ni mafundi na anayepinga na apinge.
Vyama vingine vikongwe vimeshatembelea mikongojo lakini CCM hii hilo silioni kabisa, guys are so smart and good enough to breakthrough above the sky

So mnajisifia kuongoza wajinga,??a.k.a wazee wa kufyekelea mbali
Unaongelea matatizo aliyoacha mkoloni kana kwamba tuna miaka 5 ya UHURU....!!!,Kila nikihangaza Tanzania, Rwanda, Kenya, Uganda ,Burundi, Msumbiji hata nchi nyingine za karibu sioni chama kama CCM
Watu ukosea na kuilinganisha CCM vyama vya uchochoroni
Kama Chadema, Au TLP, mnakosea sana maana CCM yapaswa kulinganishwa na vyama tawala vingine siyo vyama tawalwa,
Kwanini CCM ni Chama imara na chama chenye kuleta matumani kwa watanzania na wasio watanzania
1. Mfumo wa uendeshaji wa chama unaeleweka,
2. Muda wa uongozi wa mwenyekiti uko wazi kabisa
3. Ni chama pekee ambacho ubadirika kulingana na hali na mazingira, rejea kumpata Magufuli, na komtema Lowassa
4. Chama pekee ambacho kimesheheni watu wenye uwezo wa kuwa marais wa nchi hii zaid ya 50,
5. Kimesheheni wazee wenye busara na mipango sawa sawia
6. CCM inajipambanua katika kuufuta umasikini ulioachwa na mkoloni
7. CCM inaheshim, matumizi ya pesa zozote zile, hakuna mtu mmoja wa kutembea nazo mkononi
8. Huwezi kuikopesha CCM kutoka hela zako za mfukoni bila utaratibu
9.CCM imeasisiwa na baba wa bara la Afrika mwalimu JK Nyerere,
10. CCM ndo chama pekee kisichowaziba watu mdomo kwa kukosoana ndani kwa ndani, vyama vingine wenyeviti wana machungu mpaka wanapanda mezani wakati wa vikao kisa wamekosolewa,
Hii ndo CCM
tuseme upo sawa kwa mfano...sasa, je risasi na hongo kwa wapinzani za nini?Kila nikihangaza Tanzania, Rwanda, Kenya, Uganda ,Burundi, Msumbiji hata nchi nyingine za karibu sioni chama kama CCM
Watu ukosea na kuilinganisha CCM vyama vya uchochoroni
Kama Chadema, Au TLP, mnakosea sana maana CCM yapaswa kulinganishwa na vyama tawala vingine siyo vyama tawalwa,
Kwanini CCM ni Chama imara na chama chenye kuleta matumani kwa watanzania na wasio watanzania
1. Mfumo wa uendeshaji wa chama unaeleweka,
2. Muda wa uongozi wa mwenyekiti uko wazi kabisa
3. Ni chama pekee ambacho ubadirika kulingana na hali na mazingira, rejea kumpata Magufuli, na komtema Lowassa
4. Chama pekee ambacho kimesheheni watu wenye uwezo wa kuwa marais wa nchi hii zaid ya 50,
5. Kimesheheni wazee wenye busara na mipango sawa sawia
6. CCM inajipambanua katika kuufuta umasikini ulioachwa na mkoloni
7. CCM inaheshim, matumizi ya pesa zozote zile, hakuna mtu mmoja wa kutembea nazo mkononi
8. Huwezi kuikopesha CCM kutoka hela zako za mfukoni bila utaratibu
9.CCM imeasisiwa na baba wa bara la Afrika mwalimu JK Nyerere,
10. CCM ndo chama pekee kisichowaziba watu mdomo kwa kukosoana ndani kwa ndani, vyama vingine wenyeviti wana machungu mpaka wanapanda mezani wakati wa vikao kisa wamekosolewa,
Hii ndo CCM
8- hiyo ya kukopesha kwani hujui kuwa CCM huchukua pesa Hazina BOT mda wowote wanaotaka? iweje mtu awakopeshe wakati wakitaka pesa wanaenda Bank kuu kuchukua hata usiku, CCM sio bonge la chama bali CCM wanabaka demokrasia wanatumia pesa za walipa kodi kuwanunua wabunge madiwani, huku madalali wa siasa akina Le mutuz na wenzao wakineemeka kwa 10% kila kichwa wanachofanikisha kununua ni ufisadi ni matumizi mabaya ya pesa za umma, CCM ndiyo hurudisha nyuma maendeleo ya Nchi hii kwani pesa inayotumika kuwanunua wapinzani, kurudia chaguzi kudidimiza demokrasia ni pesa nyingi sana na endapo ingeweza kutumika kwenye maendeleo nadhani pengine Tanzania ingeweza kuwa ni Nchi tajiri yenye tekinolojia kuliko South Africa.Kila nikihangaza Tanzania, Rwanda, Kenya, Uganda ,Burundi, Msumbiji hata nchi nyingine za karibu sioni chama kama CCM
Watu ukosea na kuilinganisha CCM vyama vya uchochoroni
Kama Chadema, Au TLP, mnakosea sana maana CCM yapaswa kulinganishwa na vyama tawala vingine siyo vyama tawalwa,
Kwanini CCM ni Chama imara na chama chenye kuleta matumani kwa watanzania na wasio watanzania
1. Mfumo wa uendeshaji wa chama unaeleweka,
2. Muda wa uongozi wa mwenyekiti uko wazi kabisa
3. Ni chama pekee ambacho ubadirika kulingana na hali na mazingira, rejea kumpata Magufuli, na komtema Lowassa
4. Chama pekee ambacho kimesheheni watu wenye uwezo wa kuwa marais wa nchi hii zaid ya 50,
5. Kimesheheni wazee wenye busara na mipango sawa sawia
6. CCM inajipambanua katika kuufuta umasikini ulioachwa na mkoloni
7. CCM inaheshim, matumizi ya pesa zozote zile, hakuna mtu mmoja wa kutembea nazo mkononi
8. Huwezi kuikopesha CCM kutoka hela zako za mfukoni bila utaratibu
9.CCM imeasisiwa na baba wa bara la Afrika mwalimu JK Nyerere,
10. CCM ndo chama pekee kisichowaziba watu mdomo kwa kukosoana ndani kwa ndani, vyama vingine wenyeviti wana machungu mpaka wanapanda mezani wakati wa vikao kisa wamekosolewa,
Hii ndo CCM
Kule mkoani Mara wilaya ya Tarime kuna OCD na RPC wanatumia sheria zao binafsi sio sheria za Tanzania wapo busy na Rushwa kuwabambikia kesi kuwapiga wananchi baada ya kupokea Amri toka kwa wafanyabiashara wakubwa wa madini, viongozi wa CCM wilaya, mkoa wapo lakini cha ajabu hawakemei chochote, CCM ni chama cha kuwatesa wanyonge masikini na kuwatetea wale wanaowaonea wananchi kwa kushirikiana na Polisi.Unaongelea matatizo aliyoacha mkoloni kana kwamba tuna miaka 5 ya UHURU....!!!,
Democrasia hii ya chaguzi za kina JHECHA?,
Na Genge la wasiojulikana v/s wasema ukweli (wasiopendwa na malaika mweusi)?,
Ama kweli UJINGA bado ni adui Tz.
CCM walipaswa wawe na kesi mda huu kule The Hague uholanzi wasiojulikana kwa watanzania lakini CCM huko juu wanajulikana vizuri tu.Kijani ni genge la sawa na mengine ya kigaidi iweke kundi moja na alqaeda,izibu,Taliban, Isis,haina hadhi ya kuitwa chama.Chama uchaguliwa kwa kura na ridhaa ya wapiga kura sio kwa mtutu wa bunduki. Hilo ni genge ila hawa ni certified criminals,
Si kweli kwamba kila mwenye akili timamu anaweza kuongoza nchi. We jiulize tuu swali moja, kama vyama tuu vyenye watu lukuki wenye akili timamu lakin bado wanachama wanasema hajaona mtu wa kumkabidh chama kiasi cha kuwafanya baadh ya wenyeviti kuwa viongoz kwa miongo kadhaa sembuse nchi?. Ofcourse, mm ni kijana wa Zitto lakin katika hilo sisiem nawapa big up sio kama vyama vyetu uchwara kama Cdm &co.Mleta uzi hapo namba 4 nchi hii inaweza kuongozwa na mtu yoyote mwenye akili timamu. Mengine yote ni mbwembwe tu za kisiasa na hii ndio demokrasia.
Kila nikihangaza Tanzania, Rwanda, Kenya, Uganda ,Burundi, Msumbiji hata nchi nyingine za karibu sioni chama kama CCM
Watu ukosea na kuilinganisha CCM vyama vya uchochoroni
Kama Chadema, Au TLP, mnakosea sana maana CCM yapaswa kulinganishwa na vyama tawala vingine siyo vyama tawalwa,
Kwanini CCM ni Chama imara na chama chenye kuleta matumani kwa watanzania na wasio watanzania
1. Mfumo wa uendeshaji wa chama unaeleweka,
2. Muda wa uongozi wa mwenyekiti uko wazi kabisa
3. Ni chama pekee ambacho ubadirika kulingana na hali na mazingira, rejea kumpata Magufuli, na komtema Lowassa
4. Chama pekee ambacho kimesheheni watu wenye uwezo wa kuwa marais wa nchi hii zaid ya 50,
5. Kimesheheni wazee wenye busara na mipango sawa sawia
6. CCM inajipambanua katika kuufuta umasikini ulioachwa na mkoloni
7. CCM inaheshim, matumizi ya pesa zozote zile, hakuna mtu mmoja wa kutembea nazo mkononi
8. Huwezi kuikopesha CCM kutoka hela zako za mfukoni bila utaratibu
9.CCM imeasisiwa na baba wa bara la Afrika mwalimu JK Nyerere,
10. CCM ndo chama pekee kisichowaziba watu mdomo kwa kukosoana ndani kwa ndani, vyama vingine wenyeviti wana machungu mpaka wanapanda mezani wakati wa vikao kisa wamekosolewa,
Hii ndo CCM
Kila nikihangaza Tanzania, Rwanda, Kenya, Uganda ,Burundi, Msumbiji hata nchi nyingine za karibu sioni chama kama CCM
Watu ukosea na kuilinganisha CCM vyama vya uchochoroni
Kama Chadema, Au TLP, mnakosea sana maana CCM yapaswa kulinganishwa na vyama tawala vingine siyo vyama tawalwa,
Kwanini CCM ni Chama imara na chama chenye kuleta matumani kwa watanzania na wasio watanzania
1. Mfumo wa uendeshaji wa chama unaeleweka,
2. Muda wa uongozi wa mwenyekiti uko wazi kabisa
3. Ni chama pekee ambacho ubadirika kulingana na hali na mazingira, rejea kumpata Magufuli, na komtema Lowassa
4. Chama pekee ambacho kimesheheni watu wenye uwezo wa kuwa marais wa nchi hii zaid ya 50,
5. Kimesheheni wazee wenye busara na mipango sawa sawia
6. CCM inajipambanua katika kuufuta umasikini ulioachwa na mkoloni
7. CCM inaheshim, matumizi ya pesa zozote zile, hakuna mtu mmoja wa kutembea nazo mkononi
8. Huwezi kuikopesha CCM kutoka hela zako za mfukoni bila utaratibu
9.CCM imeasisiwa na baba wa bara la Afrika mwalimu JK Nyerere,
10. CCM ndo chama pekee kisichowaziba watu mdomo kwa kukosoana ndani kwa ndani, vyama vingine wenyeviti wana machungu mpaka wanapanda mezani wakati wa vikao kisa wamekosolewa,
Hii ndo CCM
Kwa kifupi CCM Ni chama Kiongozi Duniani Sio Africa pekee
Sijui watu wengine hufikiria kwa kutumia kiungo gani cha mwili! Ccm gani unayoipa hadhi ya kuwa chama cha siasa?!
Ccm hii inayotumia nguvu kubwa za kiharamia dhidi ya Watanzania ili ibakie madarakani ndio ambayo unaipa hadhi ya kuwa chama cha siasa?
Watu wakishabikia Ccm au kuwa Ccm huwa uwezo wao wa kuwa huru kifkra hupotea kabisa na kuwa watumwa wa fikra za wengine
Haiwezekani leo hii chama ambacho kinaamini kwenye imani ya siasa ya ujamaa ambazo msingi wake ni uzalishaji mali unaoamini katika, KUJENGA TAIFA LENYE USAWA ambapo kila mtu anaishi kwa kufanya kazi kiwe chama cha dhuluma, kuua, kutesa, na kuangamiza wote wenye mawazo kinzani