Tukubali tukatae, CCM ni bonge la Chama

Tukubali tukatae, CCM ni bonge la Chama

britanicca

Platinum Member
Joined
May 20, 2015
Posts
18,063
Reaction score
47,058
Kila nikihangaza Tanzania, Rwanda, Kenya, Uganda ,Burundi, Msumbiji hata nchi nyingine za karibu sioni chama kama CCM
Watu ukosea na kuilinganisha CCM vyama vya uchochoroni
Kama Chadema, Au TLP, mnakosea sana maana CCM yapaswa kulinganishwa na vyama tawala vingine siyo vyama tawalwa,

Kwanini CCM ni Chama imara na chama chenye kuleta matumani kwa watanzania na wasio watanzania

1. Mfumo wa uendeshaji wa chama unaeleweka,

2. Muda wa uongozi wa mwenyekiti uko wazi kabisa

3. Ni chama pekee ambacho ubadirika kulingana na hali na mazingira, rejea kumpata Magufuli, na komtema Lowassa

4. Chama pekee ambacho kimesheheni watu wenye uwezo wa kuwa marais wa nchi hii zaid ya 50,

5. Kimesheheni wazee wenye busara na mipango sawa sawia

6. CCM inajipambanua katika kuufuta umasikini ulioachwa na mkoloni

7. CCM inaheshim, matumizi ya pesa zozote zile, hakuna mtu mmoja wa kutembea nazo mkononi

8. Huwezi kuikopesha CCM kutoka hela zako za mfukoni bila utaratibu

9.CCM imeasisiwa na baba wa bara la Afrika mwalimu JK Nyerere,

10. CCM ndo chama pekee kisichowaziba watu mdomo kwa kukosoana ndani kwa ndani, vyama vingine wenyeviti wana machungu mpaka wanapanda mezani wakati wa vikao kisa wamekosolewa,

Hii ndo CCM
 
Sijui watu wengine hufikiria kwa kutumia kiungo gani cha mwili! Ccm gani unayoipa hadhi ya kuwa chama cha siasa?!

Ccm hii inayotumia nguvu kubwa za kiharamia dhidi ya Watanzania ili ibakie madarakani ndio ambayo unaipa hadhi ya kuwa chama cha siasa?

Watu wakishabikia Ccm au kuwa Ccm huwa uwezo wao wa kuwa huru kifkra hupotea kabisa na kuwa watumwa wa fikra za wengine

Haiwezekani leo hii chama ambacho kinaamini kwenye imani ya siasa ya ujamaa ambazo msingi wake ni uzalishaji mali unaoamini katika, KUJENGA TAIFA LENYE USAWA ambapo kila mtu anaishi kwa kufanya kazi kiwe chama cha dhuluma, kuua, kutesa, na kuangamiza wote wenye mawazo kinzani
 
Kila nikihangaza Tanzania, Rwanda, Kenya, Uganda ,Burundi, Msumbiji hata nchi nyingine za karibu sioni chama kama CCM
Watu ukosea na kuilinganisha CCM vyama vya uchochoroni
Kama Chadema, Au TLP, mnakosea sana maana CCM yapaswa kulinganishwa na vyama tawala vingine siyo vyama tawalwa,

Kwanini CCM ni Chama imara na chama chenye kuleta matumani kwa watanzania na wasio watanzania

1. Mfumo wa uendeshaji wa chama unaeleweka,

2. Muda wa uongozi wa mwenyekiti uko wazi kabisa

3. Ni chama pekee ambacho ubadirika kulingana na hali na mazingira, rejea kumpata Magufuli, na komtema Lowassa

4. Chama pekee ambacho kimesheheni watu wenye uwezo wa kuwa marais wa nchi hii zaid ya 50,

5. Kimesheheni wazee wenye busara na mipango sawa sawia

6. CCM inajipambanua katika kuufuta umasikini ulioachwa na mkoloni

7. CCM inaheshim, matumizi ya pesa zozote zile, hakuna mtu mmoja wa kutembea nazo mkononi

8. Huwezi kuikopesha CCM kutoka hela zako za mfukoni bila utaratibu

9.CCM imeasisiwa na baba wa bara la Afrika mwalimu JK Nyerere,

10. CCM ndo chama pekee kisichowaziba watu mdomo kwa kukosoana ndani kwa ndani, vyama vingine wenyeviti wana machungu mpaka wanapanda mezani wakati wa vikao kisa wamekosolewa,

Hii ndo CCM
Wakati ndiye msema kweli. Ipo siku ccm itakua inasomwa kwenye vitabu vya kumbukumbu. Sio lazima wewe ushuhudie
 
Kwangu mie CCM kama chama huwa sikipendi lakini kwa uwezo wake kama chama na mikakati yake daima huwa napiga salute zangu zote. Uwezo wao katika kwenda na upepo unaovuma na kuusoma mchezo hawa jamaa ni mafundi na anayepinga na apinge.

Vyama vingine vikongwe vimeshatembelea mikongojo lakini CCM hii hilo silioni kabisa, guys are so smart and good enough to breakthrough above the sky
 
Kijani ni genge la sawa na mengine ya kigaidi iweke kundi moja na alqaeda,izibu,Taliban, Isis,haina hadhi ya kuitwa chama.Chama uchaguliwa kwa kura na ridhaa ya wapiga kura sio kwa mtutu wa bunduki. Hilo ni genge ila hawa ni certified criminals,
 
Kila nikihangaza Tanzania, Rwanda, Kenya, Uganda ,Burundi, Msumbiji hata nchi nyingine za karibu sioni chama kama CCM
Watu ukosea na kuilinganisha CCM vyama vya uchochoroni
Kama Chadema, Au TLP, mnakosea sana maana CCM yapaswa kulinganishwa na vyama tawala vingine siyo vyama tawalwa,

Kwanini CCM ni Chama imara na chama chenye kuleta matumani kwa watanzania na wasio watanzania

1. Mfumo wa uendeshaji wa chama unaeleweka,

2. Muda wa uongozi wa mwenyekiti uko wazi kabisa

3. Ni chama pekee ambacho ubadirika kulingana na hali na mazingira, rejea kumpata Magufuli, na komtema Lowassa

4. Chama pekee ambacho kimesheheni watu wenye uwezo wa kuwa marais wa nchi hii zaid ya 50,

5. Kimesheheni wazee wenye busara na mipango sawa sawia

6. CCM inajipambanua katika kuufuta umasikini ulioachwa na mkoloni

7. CCM inaheshim, matumizi ya pesa zozote zile, hakuna mtu mmoja wa kutembea nazo mkononi

8. Huwezi kuikopesha CCM kutoka hela zako za mfukoni bila utaratibu

9.CCM imeasisiwa na baba wa bara la Afrika mwalimu JK Nyerere,

10. CCM ndo chama pekee kisichowaziba watu mdomo kwa kukosoana ndani kwa ndani, vyama vingine wenyeviti wana machungu mpaka wanapanda mezani wakati wa vikao kisa wamekosolewa,

Hii ndo CCM
Umesahau kuweka namba yako ya simu
 
Wakati ndiye msema kweli. Ipo siku ccm itakua inasomwa kwenye vitabu vya kumbukumbu. Sio lazima wewe ushuhudie
True tukifaulu kuutupa baharini ule moto wa tambiko urudi ulipotoka ndo tutakapozaliwa upya wenye fikra mpya ndo itakuwa mwisho wa magamba.
 
Ni kweli kabisa ni bonge la chama,maana halihitaji kufata katiba ya chama,bali utashi wa mtu ndiyo unaofuatwa!
 
Back
Top Bottom