omari londo
JF-Expert Member
- Feb 18, 2015
- 1,793
- 1,776
Huku duniani hakuna wajinga kama hukoKwa kifupi CCM Ni chama Kiongozi Duniani Sio Africa pekee
Mtawabura hao ng'ombe zenu tuu
Huku duniani hakuna wajinga kama hukoKwa kifupi CCM Ni chama Kiongozi Duniani Sio Africa pekee
Chama gani cha siasa duniani umekiona kutumia nguvu kubwa ya Pesa na askari kuvuruga upinzani. Ni mjinga tu ndio anaweza kuvuruga upinzani kwa Pesa. Upinzani huvurugwa kwa hoja, na kuwaletea wananchi maendeleo.Kila nikihangaza Tanzania, Rwanda, Kenya, Uganda ,Burundi, Msumbiji hata nchi nyingine za karibu sioni chama kama CCM
Watu ukosea na kuilinganisha CCM vyama vya uchochoroni
Kama Chadema, Au TLP, mnakosea sana maana CCM yapaswa kulinganishwa na vyama tawala vingine siyo vyama tawalwa,
Kwanini CCM ni Chama imara na chama chenye kuleta matumani kwa watanzania na wasio watanzania
1. Mfumo wa uendeshaji wa chama unaeleweka,
2. Muda wa uongozi wa mwenyekiti uko wazi kabisa
3. Ni chama pekee ambacho ubadirika kulingana na hali na mazingira, rejea kumpata Magufuli, na komtema Lowassa
4. Chama pekee ambacho kimesheheni watu wenye uwezo wa kuwa marais wa nchi hii zaid ya 50,
5. Kimesheheni wazee wenye busara na mipango sawa sawia
6. CCM inajipambanua katika kuufuta umasikini ulioachwa na mkoloni
7. CCM inaheshim, matumizi ya pesa zozote zile, hakuna mtu mmoja wa kutembea nazo mkononi
8. Huwezi kuikopesha CCM kutoka hela zako za mfukoni bila utaratibu
9.CCM imeasisiwa na baba wa bara la Afrika mwalimu JK Nyerere,
10. CCM ndo chama pekee kisichowaziba watu mdomo kwa kukosoana ndani kwa ndani, vyama vingine wenyeviti wana machungu mpaka wanapanda mezani wakati wa vikao kisa wamekosolewa,
Hii ndo CCM
Huo ndio ukweli kabisa wepende wasipende,rasilimali zao zinaeleweka bwana.hao wengine wanahangaika tu.Matokeo yake mtu akihama hadi nyaraka anahama nazo,sasa huu si uzwazwa.Kila nikihangaza Tanzania, Rwanda, Kenya, Uganda ,Burundi, Msumbiji hata nchi nyingine za karibu sioni chama kama CCM
Watu ukosea na kuilinganisha CCM vyama vya uchochoroni
Kama Chadema, Au TLP, mnakosea sana maana CCM yapaswa kulinganishwa na vyama tawala vingine siyo vyama tawalwa,
Kwanini CCM ni Chama imara na chama chenye kuleta matumani kwa watanzania na wasio watanzania
1. Mfumo wa uendeshaji wa chama unaeleweka,
2. Muda wa uongozi wa mwenyekiti uko wazi kabisa
3. Ni chama pekee ambacho ubadirika kulingana na hali na mazingira, rejea kumpata Magufuli, na komtema Lowassa
4. Chama pekee ambacho kimesheheni watu wenye uwezo wa kuwa marais wa nchi hii zaid ya 50,
5. Kimesheheni wazee wenye busara na mipango sawa sawia
6. CCM inajipambanua katika kuufuta umasikini ulioachwa na mkoloni
7. CCM inaheshim, matumizi ya pesa zozote zile, hakuna mtu mmoja wa kutembea nazo mkononi
8. Huwezi kuikopesha CCM kutoka hela zako za mfukoni bila utaratibu
9.CCM imeasisiwa na baba wa bara la Afrika mwalimu JK Nyerere,
10. CCM ndo chama pekee kisichowaziba watu mdomo kwa kukosoana ndani kwa ndani, vyama vingine wenyeviti wana machungu mpaka wanapanda mezani wakati wa vikao kisa wamekosolewa,
Hii ndo CCM
Na kweli busara za kuua upinzani ahaaaaKila nikihangaza Tanzania, Rwanda, Kenya, Uganda ,Burundi, Msumbiji hata nchi nyingine za karibu sioni chama kama CCM
Watu ukosea na kuilinganisha CCM vyama vya uchochoroni
Kama Chadema, Au TLP, mnakosea sana maana CCM yapaswa kulinganishwa na vyama tawala vingine siyo vyama tawalwa,
Kwanini CCM ni Chama imara na chama chenye kuleta matumani kwa watanzania na wasio watanzania
1. Mfumo wa uendeshaji wa chama unaeleweka,
2. Muda wa uongozi wa mwenyekiti uko wazi kabisa
3. Ni chama pekee ambacho ubadirika kulingana na hali na mazingira, rejea kumpata Magufuli, na komtema Lowassa
4. Chama pekee ambacho kimesheheni watu wenye uwezo wa kuwa marais wa nchi hii zaid ya 50,
5. Kimesheheni wazee wenye busara na mipango sawa sawia
6. CCM inajipambanua katika kuufuta umasikini ulioachwa na mkoloni
7. CCM inaheshim, matumizi ya pesa zozote zile, hakuna mtu mmoja wa kutembea nazo mkononi
8. Huwezi kuikopesha CCM kutoka hela zako za mfukoni bila utaratibu
9.CCM imeasisiwa na baba wa bara la Afrika mwalimu JK Nyerere,
10. CCM ndo chama pekee kisichowaziba watu mdomo kwa kukosoana ndani kwa ndani, vyama vingine wenyeviti wana machungu mpaka wanapanda mezani wakati wa vikao kisa wamekosolewa,
Hii ndo CCM
4. CCMMaadui Wa Tanzania Ni:-
1 . Ujinga
2 .Umasikini
3 . Maradhi
HakikaMleta uzi hapo namba 4 nchi hii inaweza kuongozwa na mtu yoyote mwenye akili timamu. Mengine yote ni mbwembwe tu za kisiasa na hii ndio demokrasia.