Tukubali tukatae, CCM ni bonge la Chama

Tukubali tukatae, CCM ni bonge la Chama

Kweli kabisa wapo
Kwangu mie CCM kama chama huwa sikipendi lakini kwa uwezo wake kama chama na mikakati yake daima huwa napiga salute zangu zote. Uwezo wao katika kwenda na upepo unaovuma na kuusoma mchezo hawa jamaa ni mafundi na anayepinga na apinge.

Vyama vingine vikongwe vimeshatembelea mikongojo lakini CCM hii hilo silioni kabisa, guys are so smart and good enough to breakthrough above the sky
Kweli kabisa wapo vizuri kwa msaada wa jeshi la polisi.
 
Unajua leo siku gani
IMG-20180930-WA0022.jpeg
 
Hapo umevuka mipaka. Si chama kiongozi duniani. Maana kuna vyama vilikuwa vinawika zaman mpaka leo kabla ya ccm kuzaliwa. Uwe unafanya research kwanza brother.
Kwa kifupi CCM Ni chama Kiongozi Duniani Sio Africa pekee
 
Siku ccm itakarusu democracia ndo itakapo kuwa mwisho wake,hata wao wanalijua hilo
 
Kila nikihangaza Tanzania, Rwanda, Kenya, Uganda ,Burundi, Msumbiji hata nchi nyingine za karibu sioni chama kama CCM
Watu ukosea na kuilinganisha CCM vyama vya uchochoroni
Kama Chadema, Au TLP, mnakosea sana maana CCM yapaswa kulinganishwa na vyama tawala vingine siyo vyama tawalwa,

Kwanini CCM ni Chama imara na chama chenye kuleta matumani kwa watanzania na wasio watanzania

1. Mfumo wa uendeshaji wa chama unaeleweka,

2. Muda wa uongozi wa mwenyekiti uko wazi kabisa

3. Ni chama pekee ambacho ubadirika kulingana na hali na mazingira, rejea kumpata Magufuli, na komtema Lowassa

4. Chama pekee ambacho kimesheheni watu wenye uwezo wa kuwa marais wa nchi hii zaid ya 50,

5. Kimesheheni wazee wenye busara na mipango sawa sawia

6. CCM inajipambanua katika kuufuta umasikini ulioachwa na mkoloni

7. CCM inaheshim, matumizi ya pesa zozote zile, hakuna mtu mmoja wa kutembea nazo mkononi

8. Huwezi kuikopesha CCM kutoka hela zako za mfukoni bila utaratibu

9.CCM imeasisiwa na baba wa bara la Afrika mwalimu JK Nyerere,

10. CCM ndo chama pekee kisichowaziba watu mdomo kwa kukosoana ndani kwa ndani, vyama vingine wenyeviti wana machungu mpaka wanapanda mezani wakati wa vikao kisa wamekosolewa,

Hii ndo CCM
Sasa eti taifa leendelee kwa kuwa gedere wa namna hii..!
 
Na tumegoma sasa 2020 hatushiriki uhuni wa tume ya uchafuzi ya ccm.
 
ccm sio chama cha siasa bali ni genge la wasaka madaraka linalolindwa na vyombo vya dola. nikisikia mtu anasema ccm ni chama cha siasa huwa namshangaa sana. ccm bila kubebwa na tume, vyombo vya dola hakuna kitu.
 
Kwangu mie CCM kama chama huwa sikipendi lakini kwa uwezo wake kama chama na mikakati yake daima huwa napiga salute zangu zote. Uwezo wao katika kwenda na upepo unaovuma na kuusoma mchezo hawa jamaa ni mafundi na anayepinga na apinge.

Vyama vingine vikongwe vimeshatembelea mikongojo lakini CCM hii hilo silioni kabisa, guys are so smart and good enough to breakthrough above the sky
haa haa tatizo letu ni ujinga. mkuu unajua maana ya chama cha siasa? ccm ni genge la kiharamia.
 
Kila nikihangaza Tanzania, Rwanda, Kenya, Uganda ,Burundi, Msumbiji hata nchi nyingine za karibu sioni chama kama CCM
Watu ukosea na kuilinganisha CCM vyama vya uchochoroni
Kama Chadema, Au TLP, mnakosea sana maana CCM yapaswa kulinganishwa na vyama tawala vingine siyo vyama tawalwa,

Kwanini CCM ni Chama imara na chama chenye kuleta matumani kwa watanzania na wasio watanzania

1. Mfumo wa uendeshaji wa chama unaeleweka,

2. Muda wa uongozi wa mwenyekiti uko wazi kabisa

3. Ni chama pekee ambacho ubadirika kulingana na hali na mazingira, rejea kumpata Magufuli, na komtema Lowassa

4. Chama pekee ambacho kimesheheni watu wenye uwezo wa kuwa marais wa nchi hii zaid ya 50,

5. Kimesheheni wazee wenye busara na mipango sawa sawia

6. CCM inajipambanua katika kuufuta umasikini ulioachwa na mkoloni

7. CCM inaheshim, matumizi ya pesa zozote zile, hakuna mtu mmoja wa kutembea nazo mkononi

8. Huwezi kuikopesha CCM kutoka hela zako za mfukoni bila utaratibu

9.CCM imeasisiwa na baba wa bara la Afrika mwalimu JK Nyerere,

10. CCM ndo chama pekee kisichowaziba watu mdomo kwa kukosoana ndani kwa ndani, vyama vingine wenyeviti wana machungu mpaka wanapanda mezani wakati wa vikao kisa wamekosolewa,

Hii ndo CCM
Nje ya dola CCM ni ya hovyo
 
Back
Top Bottom