Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 123,250
- 98,247
Kuipenda ccm inataka moyoMaadui Wa Tanzania Ni:-
1 . Ujinga
2 .Umasikini
3 . Maradhi

Uchwara ni wewe kilaza mshamba yaani umeshindwa hata kutumia Akili yako ya kishamba kubaini kuwa chadema ni chama imara ndiyo maana CCM wanatumia mabilioni pesa za walipa kodi kudhoofisha chadema huku pesa nyingi zikitumika kuwanunua wabunge madiwani kurudia chaguzi, kuwahujumu kuwabambikia kesi kuzuia mikutano na unyama pia unyanyasaji mwingi, kama wengekuwa ni uchwara iweje CCM wahangaike nao? Si wangeacha uchwara wajifie wenyewe? Ache kuishi kwa kukariri zidumu fikra za le mutuz na polepole boss zako.Si kweli kwamba kila mwenye akili timamu anaweza kuongoza nchi. We jiulize tuu swali moja, kama vyama tuu vyenye watu lukuki wenye akili timamu lakin bado wanachama wanasema hajaona mtu wa kumkabidh chama kiasi cha kuwafanya baadh ya wenyeviti kuwa viongoz kwa miongo kadhaa sembuse nchi?. Ofcourse, mm ni kijana wa Zitto lakin katika hilo sisiem nawapa big up sio kama vyama vyetu uchwara kama Cdm &co.
hii ccm inayonunua madiwani na wabunge kisha kuwatuma wakurugenzi wajifiche ili wagombea wao watangazwe kupita bila kupingwa? muwe serious kidogoKwa kifupi CCM Ni chama Kiongozi Duniani Sio Africa pekee
subiria matusiKila nikihangaza Tanzania, Rwanda, Kenya, Uganda ,Burundi, Msumbiji hata nchi nyingine za karibu sioni chama kama CCM
Watu ukosea na kuilinganisha CCM vyama vya uchochoroni
Kama Chadema, Au TLP, mnakosea sana maana CCM yapaswa kulinganishwa na vyama tawala vingine siyo vyama tawalwa,
Kwanini CCM ni Chama imara na chama chenye kuleta matumani kwa watanzania na wasio watanzania
1. Mfumo wa uendeshaji wa chama unaeleweka,
2. Muda wa uongozi wa mwenyekiti uko wazi kabisa
3. Ni chama pekee ambacho ubadirika kulingana na hali na mazingira, rejea kumpata Magufuli, na komtema Lowassa
4. Chama pekee ambacho kimesheheni watu wenye uwezo wa kuwa marais wa nchi hii zaid ya 50,
5. Kimesheheni wazee wenye busara na mipango sawa sawia
6. CCM inajipambanua katika kuufuta umasikini ulioachwa na mkoloni
7. CCM inaheshim, matumizi ya pesa zozote zile, hakuna mtu mmoja wa kutembea nazo mkononi
8. Huwezi kuikopesha CCM kutoka hela zako za mfukoni bila utaratibu
9.CCM imeasisiwa na baba wa bara la Afrika mwalimu JK Nyerere,
10. CCM ndo chama pekee kisichowaziba watu mdomo kwa kukosoana ndani kwa ndani, vyama vingine wenyeviti wana machungu mpaka wanapanda mezani wakati wa vikao kisa wamekosolewa,
Hii ndo CCM
Si kweli kwamba kila mwenye akili timamu anaweza kuongoza nchi. We jiulize tuu swali moja, kama vyama tuu vyenye watu lukuki wenye akili timamu lakin bado wanachama wanasema hajaona mtu wa kumkabidh chama kiasi cha kuwafanya baadh ya wenyeviti kuwa viongoz kwa miongo kadhaa sembuse nchi?. Ofcourse, mm ni kijana wa Zitto lakin katika hilo sisiem nawapa big up sio kama vyama vyetu uchwara kama Cdm &co.
Kila nikihangaza Tanzania, Rwanda, Kenya, Uganda ,Burundi, Msumbiji hata nchi nyingine za karibu sioni chama kama CCM
Watu ukosea na kuilinganisha CCM vyama vya uchochoroni
Kama Chadema, Au TLP, mnakosea sana maana CCM yapaswa kulinganishwa na vyama tawala vingine siyo vyama tawalwa,
Kwanini CCM ni Chama imara na chama chenye kuleta matumani kwa watanzania na wasio watanzania
1. Mfumo wa uendeshaji wa chama unaeleweka,
2. Muda wa uongozi wa mwenyekiti uko wazi kabisa
3. Ni chama pekee ambacho ubadirika kulingana na hali na mazingira, rejea kumpata Magufuli, na komtema Lowassa
4. Chama pekee ambacho kimesheheni watu wenye uwezo wa kuwa marais wa nchi hii zaid ya 50,
5. Kimesheheni wazee wenye busara na mipango sawa sawia
6. CCM inajipambanua katika kuufuta umasikini ulioachwa na mkoloni
7. CCM inaheshim, matumizi ya pesa zozote zile, hakuna mtu mmoja wa kutembea nazo mkononi
8. Huwezi kuikopesha CCM kutoka hela zako za mfukoni bila utaratibu
9.CCM imeasisiwa na baba wa bara la Afrika mwalimu JK Nyerere,
10. CCM ndo chama pekee kisichowaziba watu mdomo kwa kukosoana ndani kwa ndani, vyama vingine wenyeviti wana machungu mpaka wanapanda mezani wakati wa vikao kisa wamekosolewa,
Hii ndo CCM
Kwenye ulimwengu wa vipofu chongo ndiye mfalme. Tuna vyama dhaifu sana ndio pona ya CCM. Hivi vyama vyetu vya upinzani vingekuwa na jukumu la kutukomboa toka kwa mkoloni sijui wangekuwa wanalialia hivi ....
Yameanzasubiria matusi
Maadui Wa Tanzania Ni:-
1 . Ujinga
2 .Umasikini
3 . Maradhi
Ongeza na ccm ndo adui namba nne wa Tanzania.Maadui Wa Tanzania Ni:-
1 . Ujinga
2 .Umasikini
3 . Maradhi
Mbona hujausema ukweli kuwa CCM inabebwa na mbeleko za Jeshi la Polisi??Kwangu mie CCM kama chama huwa sikipendi lakini kwa uwezo wake kama chama na mikakati yake daima huwa napiga salute zangu zote. Uwezo wao katika kwenda na upepo unaovuma na kuusoma mchezo hawa jamaa ni mafundi na anayepinga na apinge.
Vyama vingine vikongwe vimeshatembelea mikongojo lakini CCM hii hilo silioni kabisa, guys are so smart and good enough to breakthrough above the sky
Kila nikihangaza Tanzania, Rwanda, Kenya, Uganda ,Burundi, Msumbiji hata nchi nyingine za karibu sioni chama kama CCM
Watu ukosea na kuilinganisha CCM vyama vya uchochoroni
Kama Chadema, Au TLP, mnakosea sana maana CCM yapaswa kulinganishwa na vyama tawala vingine siyo vyama tawalwa,
Kwanini CCM ni Chama imara na chama chenye kuleta matumani kwa watanzania na wasio watanzania
1. Mfumo wa uendeshaji wa chama unaeleweka,
2. Muda wa uongozi wa mwenyekiti uko wazi kabisa
3. Ni chama pekee ambacho ubadirika kulingana na hali na mazingira, rejea kumpata Magufuli, na komtema Lowassa
4. Chama pekee ambacho kimesheheni watu wenye uwezo wa kuwa marais wa nchi hii zaid ya 50,
5. Kimesheheni wazee wenye busara na mipango sawa sawia
6. CCM inajipambanua katika kuufuta umasikini ulioachwa na mkoloni
7. CCM inaheshim, matumizi ya pesa zozote zile, hakuna mtu mmoja wa kutembea nazo mkononi
8. Huwezi kuikopesha CCM kutoka hela zako za mfukoni bila utaratibu
9.CCM imeasisiwa na baba wa bara la Afrika mwalimu JK Nyerere,
10. CCM ndo chama pekee kisichowaziba watu mdomo kwa kukosoana ndani kwa ndani, vyama vingine wenyeviti wana machungu mpaka wanapanda mezani wakati wa vikao kisa wamekosolewa,
Hii ndo CCM
Kuna kitu wachangiaji wanashindwa kukikubali: Ni hivi CCM ndiyo iliyo vijenga vyombo vya dola vyote katika kuwa na nidhamu vilivyo nayo. Hivyo kuviachanisha na CCM haiwezekani. Nchi ambazo hazikuwa navyombo hivyo vuenye nidhamu au chama kizuri cha kuviongoza tuliona mwisho wa serikali zao! Kutokana na hilo Tanzania hatuna chama mbadala kutoka upinzani cha kuongoza vyombo vya dola letu.Waache matumizi ya dola km polisi. Wabaki km vyama vingine vilivyo. Then njoo ongea sasa.
Kuna kitu wachangiaji wanashindwa kukikubali: Ni hivi CCM ndiyo iliyo vijenga vyombo vya dola vyote katika kuwa na nidhamu vilivyo nayo. Hivyo kuviachanisha na CCM haiwezekani. Nchi ambazo hazikuwa navyombo hivyo vuenye nidhamu au chama kizuri cha kuviongoza tuliona mwisho wa serikali zao! Kutokana na hilo Tanzania hatuna chama mbadala kutoka upinzani cha kuongoza vyombo vya dola letu.
Uzoefu wao ni wa kuiba kura pekee..........Kuna kitu wachangiaji wanashindwa kukikubali: Ni hivi CCM ndiyo iliyo vijenga vyombo vya dola vyote katika kuwa na nidhamu vilivyo nayo. Hivyo kuviachanisha na CCM haiwezekani. Nchi ambazo hazikuwa navyombo hivyo vuenye nidhamu au chama kizuri cha kuviongoza tuliona mwisho wa serikali zao! Kutokana na hilo Tanzania hatuna chama mbadala kutoka upinzani cha kuongoza vyombo vya dola letu.
hayaaa kapokee buks7 yako ukale na mumeo... MWINGINEEEE!!!!?? aje...Kila nikihangaza Tanzania, Rwanda, Kenya, Uganda ,Burundi, Msumbiji hata nchi nyingine za karibu sioni chama kama CCM