Lowasa ni janga la taifa pia ni janga sugu la wazawa mungu atuepushe na dhahama hii isitukute tutakuwa tumepata hasara kubwa sana kama taifa.
Lowassa hawezi kuwa janga la Taifa kwa sababu yeye anabeba bendera ya UKAWA ambao ajenda yao kuu iliyowaunganisha ni kutuletea katiba sisi wananchi tuliyoipendekeza; katiba tulitoipendekeza ndio itakuwa mkombozi wa sisi walala hoi tofauti na katiba ya ccm inayotaka kutukandamiza milele, yaani Kikwete na genge lake watawale nchi hii bila ukomo na waendelee kutuibia na kuficha fedha huko ughaibuni!!!
Lowassa akiingia madarakani kitu cha kwanza ni kutupa katiba yetu period.