Tuko serious Lowassa awe Rais?

Tuko serious Lowassa awe Rais?

mkuu hawawezi kukuelewa hata kidogo.
Sijui ni nan katuloga watanzania mpaka kuwa wapumbavu kiasi hiki.

Wanadanganywa eti anauchukia umaskin ndio anauchukia kwa familia yake lakn sio kwa watz.

Mkuu ndivyo siasa zilivyo kumbuka hata wana wa Israel walikataa Mungu asiwe mfalme wao walitaka wawe na mfalme mwanadamu kama mataifa mengine yaliyokuwepo kipindi hicho na cha ajabu zaid Mungu hakuwakatalia! aliwapa wakitakacho i.e. mfalme mwanadamu kama wao!

Kumbuka hata JK amedanganya sana; maisha bora kwa kila mtz, kigoma kuwa kama dubai, kujenga reli mpya, mgao wa umeme utakuwa historia......

Ndivyo siasa zilivyo cha muhimu yule anatakwa na wengi apewe nafasi pasipo kumwaga damu au kuleta machafuko ya aina yoyote!!
 
atakuwa rais kwawaliolishwa unga wa ndele ila kwa sisi tuliopata unga wa rutuba Magufuli ATOSHA.
 
Bwana nani anakudanganya lowasa kuchukua nchi hii,hizo ni ndoto,nsye analijua hilo kakabwa koo hana ujanja
 
Wakuu, Natumaini wote ni wazima wa afya.

Sasa twende kwenye mada. Ndugu yetu Lowassa ni mbunge kwa miaka 25 katika jimbo la Monduli. Na amekuwa akinadiwa kama mchapa kazi na mwenye maamuzi magumu.

Lakini ustawi wa maendeleo katika jimbo la Monduli ni tofauti na kile tunachoambiwa.

Lakini tafiti za UNDP, zinabainisha illiteracy rate au wanaojua kusoma ni wachache mno, ajira ni tatizo kubwa sana monduli... Vijana wengi wamekimbilia Arusha, Namanga, Nairobi, DSM na Zanzibar kama walinzi, wasusi, na wauza shanga.

Hii ni aibu kubwa iliyofunikwa na fedha isionekane, michango kwenye taflija mbali mbali nayo imekuwa kama kisafishio cha aibu hii. Jaribu kufananisha kazi anayo fanya Deo Firikunjombe Ludewa ndani ya muda mchache na kazi ya Lowassa monduli ndani ya miaka 25.

Kinachoonekana kwa jicho la pili ni maandalizi ya muda mrefu ya kutaka urais kwa gharama zozote ikiwa ni pamoja na kuupumbaza umma kwa techniques mbali mbali.

Namaliza kwa kusema, zile milioni Mia 200 anazotoa Lowassa kwenye taflija mbali mbali, zingeweza kutengeneza ajira za wamasai wanao suka dada zetu pale mwenge, Ubungo etc.

Tajiri siku zote hushughulika na matajiri wenzake.
Usihofu. HATAKUWA Rais
 
So huko jimboni kwa Magufuli ndo kuna ajira za kutosha sio ?
 
Nasubiri kwa hamu kusikiliza vipaumbele vya Lowassa akiwa Rais.

Labda kesho (29/08/2015) atasema wakati anazindua kampeni. Hivi UKAWA wana ilani ya uchaguzi? Ilani inayoweza kubeba zile za CDM, CUF, NCCR and NLD ya Makaidi.

Hadi wakati huu (28/08/2015 - 13:51 PM) sijaelewa nini sera ya Lowassa. Akisema anachukia umaskini watu wanashangalia lakini hajasema umaskini wa nani. Wa kwake na ndugu zake au umaskini wa watanzania wote? Miaka yote ndani ya serikali kafanya nini kupambana na umaskini huo nchini na jimboni kwake?

Nikisema hayo simaanishi CCM ndio malaika.

Uchaguzi wa mwaka huu Taznzania ipo njia panda. Chama sahihi (CDM/UKAWA) wana mgombea asiyefaa. Mgombea sahihi (Magufuli) yupo chama kisichofaa. Najiuliza kipi bora? Mgombea safi kwenye chama kichafu au Mgombea mchafu kwenye chama safi?

Mkuu kiukwel kabisa unaweza sema magufuli msafi ili hali ya kuwa watu washaleta madudu yake hapa jukwaan! (mfano tu yaan wewe mtu kasigina taratibu za kuuza nyumba za serikali, tena kamuuzia ndugu yake ambaye hakuwa hata mwajiriwa by then! ) any way kuwa neutral na kusimamia ukweli pale inapotatikana ni issue sana wanadamu walio wengi! wengi wao mahaba niue huchukua nafasi na ni human nature kwa mtu kuwa na wivu na kile anachokiamini!

Nafikiri neno "ana unafuu" labda linamfaa!
 
twende kwanza chato, butiama, masasi mtwara tufanye comparison sio kuleta hoja feki hapa

mimi na ukoo wangu wote kura ni kwa lowassa.
Lumumba mmelaaniwa ivi mgombea wenu namnadi lini? Na mnajua kuwa hauziki nyie kila siku kumnadi lowasa aiseeee hii sindano imewaingia
 
Wakuu, Natumaini wote ni wazima wa afya.

Sasa twende kwenye mada. Ndugu yetu Lowassa ni mbunge kwa miaka 25 katika jimbo la Monduli. Na amekuwa akinadiwa kama mchapa kazi na mwenye maamuzi magumu.

Lakini ustawi wa maendeleo katika jimbo la Monduli ni tofauti na kile tunachoambiwa.

Lakini tafiti za UNDP, zinabainisha illiteracy rate au wanaojua kusoma ni wachache mno, ajira ni tatizo kubwa sana monduli... Vijana wengi wamekimbilia Arusha, Namanga, Nairobi, DSM na Zanzibar kama walinzi, wasusi, na wauza shanga.

Hii ni aibu kubwa iliyofunikwa na fedha isionekane, michango kwenye taflija mbali mbali nayo imekuwa kama kisafishio cha aibu hii. Jaribu kufananisha kazi anayo fanya Deo Firikunjombe Ludewa ndani ya muda mchache na kazi ya Lowassa monduli ndani ya miaka 25.

Kinachoonekana kwa jicho la pili ni maandalizi ya muda mrefu ya kutaka urais kwa gharama zozote ikiwa ni pamoja na kuupumbaza umma kwa techniques mbali mbali.

Namaliza kwa kusema, zile milioni Mia 200 anazotoa Lowassa kwenye taflija mbali mbali, zingeweza kutengeneza ajira za wamasai wanao suka dada zetu pale mwenge, Ubungo etc.

Tajiri siku zote hushughulika na matajiri wenzake.

Hujawhi kufika MONDULI nENDA KAJIONEE SIYO UNAJIBWABWAJA TU HUMU NA HUELEWI
 
njooni kivingine yeye mwenyewe ashasema ana Watz wanampa mahaba! issue ni muda EL kakuta watu wanataka changes na yeye kakamatia hapo hapo muda kwa sasa haupo kwa ccm! ccm in zaidi ya old fashion, outdated!

Hakuna mwanasiasa ambaye hana uchu wa madaraka ingekuwa hivyo ccm wasingeomba tena kura washaongoza more than 50 years na yamewashinda na yet wanaomba tena kuongoza! au JK asingeomba tena 2nd term maana ya kwanza alishaprove failure.

Aisee ungekua jirani ningekununulia soda!
 
Wakuu, Natumaini wote ni wazima wa afya.

Sasa twende kwenye mada. Ndugu yetu Lowassa ni mbunge kwa miaka 25 katika jimbo la Monduli. Na amekuwa akinadiwa kama mchapa kazi na mwenye maamuzi magumu.

Lakini ustawi wa maendeleo katika jimbo la Monduli ni tofauti na kile tunachoambiwa.

Lakini tafiti za UNDP, zinabainisha illiteracy rate au wanaojua kusoma ni wachache mno, ajira ni tatizo kubwa sana monduli... Vijana wengi wamekimbilia Arusha, Namanga, Nairobi, DSM na Zanzibar kama walinzi, wasusi, na wauza shanga.

Hii ni aibu kubwa iliyofunikwa na fedha isionekane, michango kwenye taflija mbali mbali nayo imekuwa kama kisafishio cha aibu hii. Jaribu kufananisha kazi anayo fanya Deo Firikunjombe Ludewa ndani ya muda mchache na kazi ya Lowassa monduli ndani ya miaka 25.

Kinachoonekana kwa jicho la pili ni maandalizi ya muda mrefu ya kutaka urais kwa gharama zozote ikiwa ni pamoja na kuupumbaza umma kwa techniques mbali mbali.

Namaliza kwa kusema, zile milioni Mia 200 anazotoa Lowassa kwenye taflija mbali mbali, zingeweza kutengeneza ajira za wamasai wanao suka dada zetu pale mwenge, Ubungo etc.

Tajiri siku zote hushughulika na matajiri wenzake.

Mimi binafsi bila kupepesa macho wala kumung'unya maneno nasema hivi niko serious na uamuzi wangu sitajutia, kura yangu kwa Lowassa.
 
Wakuu, Natumaini wote ni wazima wa afya.

Sasa twende kwenye mada. Ndugu yetu Lowassa ni mbunge kwa miaka 25 katika jimbo la Monduli. Na amekuwa akinadiwa kama mchapa kazi na mwenye maamuzi magumu.

Lakini ustawi wa maendeleo katika jimbo la Monduli ni tofauti na kile tunachoambiwa.

Lakini tafiti za UNDP, zinabainisha illiteracy rate au wanaojua kusoma ni wachache mno, ajira ni tatizo kubwa sana monduli... Vijana wengi wamekimbilia Arusha, Namanga, Nairobi, DSM na Zanzibar kama walinzi, wasusi, na wauza shanga.

Hii ni aibu kubwa iliyofunikwa na fedha isionekane, michango kwenye taflija mbali mbali nayo imekuwa kama kisafishio cha aibu hii. Jaribu kufananisha kazi anayo fanya Deo Firikunjombe Ludewa ndani ya muda mchache na kazi ya Lowassa monduli ndani ya miaka 25.

Kinachoonekana kwa jicho la pili ni maandalizi ya muda mrefu ya kutaka urais kwa gharama zozote ikiwa ni pamoja na kuupumbaza umma kwa techniques mbali mbali.

Namaliza kwa kusema, zile milioni Mia 200 anazotoa Lowassa kwenye taflija mbali mbali, zingeweza kutengeneza ajira za wamasai wanao suka dada zetu pale mwenge, Ubungo etc.

Tajiri siku zote hushughulika na matajiri wenzake.
Ebu tuletee na tafiti za Bwagamoyo ndani kule.
 
Kweli wamesema; Nyani haoni kundule. Weye unashangaa Monduli kutokuwa na maendeleo, unalinganisha Deo na muda wake mfupi aliokaa bungeni.
Mbona hulinganishi Riziwan na Babake?? Jimbo laa Riz si alikaa babake miaka na hakuleta maendeleo yeyote? Mbona Riz kabla hata ya kuingia mjengoni aliahidi kununua trekta kwa kila kijiji?? Mbona mnakuwa mazuzu? Vijiji hivyo vingelikuwa na trekta angewanunulia nyingine?? Miaka yoote babake amekuwa waziri na sasa ni rais mbona hakupeleka maendeleo huko??
ujinga si lazima ukausomee, Shule ile tulioneshwa kwenye luninga, shule ya msingi, ati juu imeezekwa nyasi, ni wapi ka si jimboni mwake, LETENI HOJA wala si vioja hapa. Ukitaka mapinduzi kamili, mchague Lowasa awe rais wako. Atakuletea maendeleo. Na Chama pekee cha ukombozi kipo UKAWA

unaumwa?
 
mimi na ukoo wangu wote kura ni kwa lowassa.
Lumumba mmelaaniwa ivi mgombea wenu namnadi lini? Na mnajua kuwa hauziki nyie kila siku kumnadi lowasa aiseeee hii sindano imewaingia

Teh teh teh raha sana aisee!
 
Wakuu, Natumaini wote ni wazima wa afya.

Sasa twende kwenye mada. Ndugu yetu Lowassa ni mbunge kwa miaka 25 katika jimbo la Monduli. Na amekuwa akinadiwa kama mchapa kazi na mwenye maamuzi magumu.

Lakini ustawi wa maendeleo katika jimbo la Monduli ni tofauti na kile tunachoambiwa.

Lakini tafiti za UNDP, zinabainisha illiteracy rate au wanaojua kusoma ni wachache mno, ajira ni tatizo kubwa sana monduli... Vijana wengi wamekimbilia Arusha, Namanga, Nairobi, DSM na Zanzibar kama walinzi, wasusi, na wauza shanga.

Hii ni aibu kubwa iliyofunikwa na fedha isionekane, michango kwenye taflija mbali mbali nayo imekuwa kama kisafishio cha aibu hii. Jaribu kufananisha kazi anayo fanya Deo Firikunjombe Ludewa ndani ya muda mchache na kazi ya Lowassa monduli ndani ya miaka 25.

Kinachoonekana kwa jicho la pili ni maandalizi ya muda mrefu ya kutaka urais kwa gharama zozote ikiwa ni pamoja na kuupumbaza umma kwa techniques mbali mbali.

Namaliza kwa kusema, zile milioni Mia 200 anazotoa Lowassa kwenye taflija mbali mbali, zingeweza kutengeneza ajira za wamasai wanao suka dada zetu pale mwenge, Ubungo etc.

Tajiri siku zote hushughulika na matajiri wenzake.
kwanza kabisa una kiswahli kibovu kama cha mwanafunzi wa darasa la 3, SIO TAFLIJA NI TAFRIJA. Michango katika tafrija ni jambo la kawaida sana.
pili Mbunge anasimamia Sera na Ahadi alizowaahidi wananchi wake, hicho ndicho cha kumhoji na ikiwezekana kumwajiabisha nacho, Mila na tamaduni za watu wa Monduli vinahusika sana hapa. WAADZABE walichinjiwa Punda na serikali ili wakubali shule.
Tatu wewe sio Mkazi wa Monduli hujui katika sera zake aliwaahidi kitu gani na kitu gani hajatekeleza kama mbunge wao..

Mwishokitendo cha kumsaidia mtu kwa kumpa Pesa haimaanishi familia YAKO imejitosheleza sana, Uzoefu unaonyesha viongozi wenye nyadhifa wa CCM huwa hawapaswi kua wana upendeleo kwenye majimbo yao tu, wanapaswa kuitumikia nchi yote kwa ujumla.
Bila kusahahu ukweli kua CCM ime tafuna mabilioni ya shilingi bila hata kutoa msaada popote, mfano mmoja wapo ni bilioni 200 kwenye katiba mbovu iliyokwama, TANESCROW,EPA etc. How about that huh?
TUKO SERIOUS
 
Back
Top Bottom