MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 20,897
- 63,784
Alikiri kwamba alichokifanya Libya ni makosa hasa yaliyotokea baada ya mapinduzi. Viongozi wangapi wanaweza kufanya hivi na kuweka viburi vyao pembeni ???Ktuulia Gaddafi π
Siku zote kumbuka tu, Obama alikuwa ni rais wa Marekani, alichaguliwa kuwaongoza wamerekani, na siku zote wamarekani hawana huruma wakiwa wanasaka maslahi yao.Sitamsamehe kwa kuiharibu Libya ,nchi ilikuwa na amani lakini katika utawala wake akiwa amiri jeshi mkuu yeye ndie mshika bendera wa ile vita ya kidhalimu na kifisadi dhidi ya Ghadaffi
Yaani, nikikumbuka hili, naghadhabika.Ktuulia Gaddafi π
Angejiuzulu urais kama kweli ni muungwana kwa kiasi tunacholazimishwa kuamini.Usitegemee Obama angeenda tofauti. Never.
Gadaff aliwaua ndugu zako wengi tu enzi za vita ya Kagera.Ktuulia Gaddafi π
Lakini bado Gaddafi alikuwa wa muhimuGadaff aliwaua ndugu zako wengi tu enzi za vita ya Kagera.
Sema mibongo hamjielewi.
Alikuwa muhimu kwake na watu wake.Lakini bado Gaddafi alikuwa wa muhimu
Sijawahi kumkubali huyu orator.Ana madhaifu mengi kama binadamu, alifanya makosa kama binadamu lakini ukimfuatilia vizuri huyu Mzee utatambua kwamba ni moja kati ya watu waungwana mno.
Kuna baadhi ya mambo mabaya alikuwa anafanyiwa nadhani ni vigumu binadamu wa kawaida kuyachukulia kirahisi au hata kuyapuuza. Mtu wa kawaida tena mwenye mamlaka makubwa ukizomewa na mtu mmoja wakati unatoa hotuba nadhani ni lazima utatoka nje ya mstari kwa hasira tu.
Lakini huyu mzee kuna mambo makubwa ambayo aliyachukulia kawaida sana, nadhani ni watu wachache sana wenye mamlaka wanaweza kufanya kama yeye alivyofanya. Huu ni uungwana wa hali ya juu sana. Ukitazama video ambayo nimeambatanisha hapa nchini nadhani kuna kitu cha kujifunza.