Tukiwasema mnatoa povu, ona sasa!

Tukiwasema mnatoa povu, ona sasa!

Hii si ilishawekwa humu jf!!! Repetition


Hakuna mtu perfect duniani........mbona nyinyi wanaume mna matatizo yenu mengi tu
 
Kweli kutaka ndoa hakujawahi kumuacha mtu salama.

Yaani kaamua kujianika ili tu apate mume. Angejua ndoa hupangwa na Mungu wala asingehangaika kutumia nguvu nyingi hivyo.
 
Hala
Kweli kutaka ndoa hakujawahi kumuacha mtu salama.

Yaani kaamua kujianika ili tu apate mume. Angejua ndoa upangwa na Mungu wala asingehangaika kutumia nguvu nyingi hivyo.
Kwanza siku hizi kuna mitandao kibao, bora hata angetumia njia hizo, sasa huyo mume atakaejitokeza lazima nae awe amedata kidogo
 
mmmh imefikia hapa kwenye kushika Bango lol, mtihani mwenyezi mungu atustiri sie tulokua na watoto wengi tutulie majumbani mwetu..
 
Kweli kutaka ndoa hakujawahi kumuacha mtu salama.

Yaani kaamua kujianika ili tu apate mume. Angejua ndoa hupangwa na Mungu wala asingehangaika kutumia nguvu nyingi hivyo.
Emmyta... why I love you soo much?
 
Ntamtafuta tukijumlisha na wangu watano jumla nane safi kabs ajiandae kupika kwa wote
 
Sijui Mungu anqmpango gani na hii dunia,

Wanaume nao wanakuwa wanawake sasa wanawake watafanywa na nani
 
Namshukuru sana mungu kwa kuniumba me.
Kadri:-
Ninavyo wapachika mimba ndiyo soko langu linaongezeka

Umri wangu unqvyozidi kuwa mkubwa ndiyo nazidi kukwangua watoto wabichi.

Lkn mwanamke akisha zaa tu ndiyo anaishia kwenye hatua ya kubeba bango.
 
Mfano mdogo tu......kuna wanaume huwa wakishampa msichana mimba anamkimbia na kumuacha ateseke mwenyewe

Mengine mnajijua
Hakuna mwanaume huyo

Wanawake ni wapumbavu wanategesha mimba ,huenda mwanaume alikuwa hana mpango wa kupata mtoto sababu ya mahesabu yake ila wanawake makusudi

Sasa hatujapanga kupata mtoto halafu unaniletea habari za mimba kwa kushtukiza what do u expect,wanapenda kuteseka wenyewe hakuna mwanaume anayeweza kukataa mimba yake ila from nowhere
 
Back
Top Bottom