Curious gal
JF-Expert Member
- Dec 1, 2014
- 3,200
- 4,010
Mimi sina huo mpango wa kumtegeshea mtu.....Hakuna anayekimbia, huwa hatuko tayari kama maamuzi yalifanyika kwa upande Mmoja.! Kama uliisi ukishika mimba ndio hata kuwa wako, basi ujue ukishika mimba huts muona ! Tujitaidi kushirikishana, ila isiwe kama surprise... Kila Mmoja aelewe nini kitakwenda tokea...!! Familia si kitu cha kukimbilia...ndio hapo mwanaume wengi pumzika zinakatikia hewani..!!
Okay na wale wengine ambao wanamzalisha mwanamke mpaka watoto zaidi ya mmoja na baadae kuwakimbia........Je,hao nao hawakujipanga au kushirikishwa??